kuhusishwa kwa ukame na maovu ya wanadamu.

nkwaru

Senior Member
Jan 16, 2013
126
42
WANAJAMVI MPO?

Ukweli ni upi?, wasomi wanasema ni mabadiliko ya tabia ya nchi. mambo ya kiroho wanasema ni maovu kuzidi.

binafsi mi naona yote yana impact sijui ww
 
''Mambo ya kiroho'' no wonder hakuna mgunduzi/mvumbuzi kutoka huu ukanda maana mysteries zote ni kwa uwezo wa Roho.
 
mwingine atasema kuwa dhambi ni kuharibu mazingira
Hiyo ndiyo mwanzo. ..maana HEKIMA NA VIPAWA vinatoka kwa MUUMBAJI. .hivyo kugundua kitu na kuweza kukitekeleza ni baraka. ...
 
Back
Top Bottom