Ajira zimefunguliwa?

Ajira zimefunguliwa?

nkwaru

Senior Member
Joined
Jan 16, 2013
Posts
126
Reaction score
42
Wakuu, naomba kujua kama ajira zilizofunguliwa mara baada ya hile miezi miwili ya mh. rais ni za kada gani na gani? zimekwisha toka hadi hv sasa make nilikuwa likizo kidogo!
 
Ajira nenda Lumumba hakuna ajira iliyofunguliwa hapa zaidi ya siasa wewe unauliza ajira huku wenzako sana duly sea
94f61832644c3598ba0de8946526aab6.jpg
 
Back
Top Bottom