Msaranga
Nyumba yako unayoiona ni kubwa ndiyo nyumba ndogo kwa mwenzio,kuwa mpole na fanya yako maana ukiamua kumfuatilia mkeo mwanzo mwisho utakufa siku moja hivyo mtizamo wako mimi naupinga 100% kwani nyumba ndogo ni dawa ya stress,...
Kafa kishujaaaaa,usichonge sana huwezi kujua huko alifuata nini.Unaweza kukuta home mke ni kinanda kila siku anazua mapya halafu akae hapo afanye nini?kuslimishwa ni hiari ya mtu na kufa kila mtu atakufa haijalishi utafia wapi kifo ni kifo tuu(mwenzio akinyolewa wewe tia maji)
Acha ubwege,toka lini mwanaume akaingia ktk hedhi? labda hao ni wa kile choo cha tatu ( mashoga) ukisema hivyo nitakubaliana na wewe mimi sijawahi kuwa na hizo dalili na wala sitekgemei kuwa nazo.pumbafu
Poleni sana mafisadi yaani bado huku dar wamefanya viwanja vimepanda bei kwa kujilimbikizia maekari ya kutosha na kuuza kwa bei wanayoitaka wee mabina uwe mfano wa kuigwa na wezi wenzio shenx
Wanatuzingua tu hawa wajinga siasa kweli ni kama filamu ya kihindi nyimbo nyiingi mwisho mwizi na askari ni huyohuyo" tufikie mahali tukubaliane kwamba hakuna upinzani wa kweli tanzania kama hamuamini angalieni historia na ikifikia kipindi cha karibia na uchaguzi wale watu wenye umaarufu ktk...
Mwacheni dogo apumzike manake ndo zao vijana wanapenda kuserereka hawataki taabu mbona siyo huyo tuu,vijana wengi sana wameolewa na wamama wazee kwa ajili ya njaa na mavazi.
huyo ndiye anayewaambia wanawake watajifungua bila uchungu? ni wazi kuwa Mungu alipotoa adhabu pale eden wakati wati ule wa Adam na Hawa akiwaambia kuwa mwanamke atazaa kwa uchungu wakati huo huo mwanamume atakula kwa jasho sasa huyu nabii anayeipinga amrki ya Mungu anatumwa na nani kama sii...
Jamaa ni mdogo kumri na ana mke na ilishatokea mother akala kichapo na huyo mke wa jamaa,najua kila mtu ana mtizamo wake ila kiukweli ikitokea kwako sijui utafanya vip.ila ipo siku nikimkuta huyo jamaa nadhani mgazeti ya udaku yataandika
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.