Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

Mbunge bibi miaka 60, aolewa na kijana wa miaka 26

Let talk about the inconstence of our penal law but not in this case relating to aged woman to get married with young man who is already at the age of majority. Their case may be can be related to sexual harrassment and not rape. But in real fact the law of rape is discrimanative which need the other side of coin.
It is becoming imperative that Tanzania should now consider the need to come up with legal reforms in the offence of rape. The existing definition of rape in our laws is not sustainable in today's world of feminism, sexual equality, and rising female aggressiveness. To my mind, rape goes beyond just penetration; and that it should have more to do with consent rather than penetration without consent.
Article 13(1) of the United Republic of Tanzania Constitution outlaws discrimination: It states; “All persons are equal before the law and are entitled without any discrimination, to protection and equality before the law”
Section 130(1), (2), (3) and (4) of Penal Code women are exempt. This is a statutory burden contemplated by the anti-discrimination clause. And by excluding women as aforesaid, the Penal Code grants them a statutory benefit not available to men, thus again violating the Constitution.

Article 64(5) of the United Republic of Tanzania Constitution elevates the Constitution above all other law: Being inconsistent with article 64(5) of the Constitution, section 130(1), (2), (3) and (4) of the Penal Code is voided to the extent of that inconsistency, that is, to the extent of its discriminatory repercussions against men. Article 64(5) of the Constitution thus compels a re-reading of section 130(1), (2), (3), and (4) of the Penal Code to incorporate female-on-male, or female rape.
Female-on-male rape is widely, but incorrectly, considered impossible because male arousal is thought to be always voluntary, whereas it is more often involuntary. Presuming without conceding that arousal implies volition and thus negates rape, what about artificial arousal? A woman can use date rape drugs, or crushed Viagra secreted into a man's beer, to induce the hardness factor and finally have sex with him.
A related point is that the law of rape does not even require penile turgidity. Unlike consummation in matrimonial law which requires meaningful penetration only attainable by a stiff penis, in criminal law rape is complete upon the slightest ‘penetration'. The flimsiest contact will qualify in the rape context. A flaccid penis can make such contact. The jurisprudential logic is that the law is aimed at preventing sexual assaults, the mischief against which it is directed. If a woman forces or tricks or drugs a man into that degree of contact, she has raped him.
Finally, sex and therefore rape, need not entail penile penetration of the vagina. So if a woman, by fear, force or fraud, has oral sex with a man, she has raped that man.
Our legal system must grapple with the changing face of human sexuality.
It should change to accord with international criminal law were a woman can rape a man the good example in the case of Pauline Nyiramasuhuko ICTR decision


sheria ya makosa ya ubakaji hakuna sehemu inayomtaja mwanaume kubakwa! Kwa sababu sheria zinatungwa na wabunge basi ni vyema wizara ya jinsia na watoto kwa kuanzia huyu kijana wa miaka 26 itutamke rasmi kuwa na wanaume tunabakwa na wamama
 
Unasema hivyo kwa kuwa siyo mtoto wako wala ndugu yako. Bila shaka angekuwa mwanao wa kwanza kumshtaki angakuwa huyo Rwakatare aliyefunga hiyo ndoa. Mchungaji gani asiyekuwa na hekima na busara hata kama ya mtoto wa chekechea? Huyu mchungaji ametia aibu mni. Shame on her.

Kwa mujibu wa sheria,
hiyo ndoa sio halali kwa kuwa kulikuwa na 'undue influence'
 
Ukishangaa ya Mwigulu utayaona ya rosweeter...! hivyo ndivyo Ufalme uliofitinika unavyokuwa..!
 
  • Hebu tuone 60 - 26 = 34 tofauti ya miaka, Hawa kidogo wana nafuu
  • Kuna hii kali zaidi: Kijana wa miaka 23,kaoa bibi wa miaka 85 ; Ambapo 85 - 23 = 63 Hii balaa!.......
Hawa hapa pichani
1188447_image_jpg0d5b1c4c7f720f698946c7f6ab08f68.jpg
​
Iliwekwa hapa JF na Money Stunna
Code:
[URL]https://www.jamiiforums.com/mahusiano-mapenzi-urafiki/483588-kijana-wa-miaka-23-kaoa-bibi-wa-miaka-85-je-ni-mapenzi-ya-dhati-au-kijana-kafata-pesa-na-karatasi.html[/URL]
 
Last edited by a moderator:
Mimi natafuta la kiume lenye miaka zaidi ya 60 huko ccm niwe napiga mkongojo.
 
Mwacheni dogo apumzike manake ndo zao vijana wanapenda kuserereka hawataki taabu mbona siyo huyo tuu,vijana wengi sana wameolewa na wamama wazee kwa ajili ya njaa na mavazi.
 
Hakuna kilichomfanya dogo aolewe na huyo shugamami zaidi ya njaa..! Kwa hiyo yale mamilioni ya bungeni dogo anaanza kujisevia..
 
Jamani umaskini hatariii it mean dogo alifunga ndoa 2011 akiwa n 24yr, mama hata kosa dogo alijua atafanikisha masomo n maisha bt mama kamfanya kma houseboy wke.dogo ndio amekimbia nw baada yakuona hamna kitu, inaonekana alikua kma yupo jkt n amri tu hata kumgegeda ilikua amri.so sad
 
.....Jamani mwacheni Mama ale kitu roho inapenda .........hapo ni lazioma mama alikuwa anachanganyikiwa na kijna mdogo ambaye katika maswala ya unyumba anakuwa na nguvu sana ... bila shaka mama alikuwa anajidai na kufaidi mavituz..... maana iwe isiwe Mama alipata kitu roho inapenda.....
 
Mwacheni rose wa watu kapagawishwa na dushelele la kijana mlito
 
Unasema hivyo kwa kuwa siyo mtoto wako wala ndugu yako. Bila shaka angekuwa mwanao wa kwanza kumshtaki angakuwa huyo Rwakatare aliyefunga hiyo ndoa. Mchungaji gani asiyekuwa na hekima na busara hata kama ya mtoto wa chekechea? Huyu mchungaji ametia aibu mni. Shame on her.

Mkuu kwa taarifa tu ni kuwa inadaiwa Mchungaji Rwakatare mwenyewe (ambaye ni divorced) ana mwandani wake (boyfriend/companion) ambaye ni kijana mdogo sana sawa na umri wa watoto wake. Na hata wanaye na baadhi ya waumini walio karibu naye wanafahamu hili na kuwa uhusiano huo umekuwa ni wa usiri mkubwa ili kuepuka usiathiri hadhi yake kwenye jamii. Hivyo basi hii hadithi ya mama na kijana wa miaka 26 hapo juu gazetini ni 'duplicate' stori ya maisha Mchungaji Rwakatare mwenyewe.

Sasa unafikiri kwa Mama mchungaji wa aina hii atamwaga ushauri au nasaha gani kwa muumini kama huyo mama aliyeoana na kijana wa miaka 26?
 
Kabla ya kutumia neno lolote elewa kwa tafsiri yake. Mtoto ni yule aliye na umri chini ya miaka 18. Michael ana miaka 26 hivyo hahusiki na tafsiri ya neno mtoto. Ndoa ni muunganiko wa hiari kati ya mwanaume na mwanamke unaokusudia kudumu kwa muda wa maisha yao. Hawa wawili wanazo sifa hizo. Katika sheria hakuna umri wa ukomo wa kufunga ndoa
Kulingana na gazeti kijana na yatima hawajui wazazi na wala hana ndugu. Sasa hilo limama tena mbunge badala ya kumwasili anamvulia mtoto mdogo nguo. Mtu mzima hovyo. Halafu bila aibu anasimama bungeni na kuchangia hoja kumbe ni mnyanyasi wa watoto. Wanaharakati tafadhali angalieni hili jambo. Huyu kizee alichukua advantage ya umaskini wa kijana huyu kumhujumu. Haikubaliwi.
 
Hakuna uhusiano usio na sababu: njaa, sura nzuri, kipato, ulinzi, heshima, kupata watoto nk zote ni sababu za kuhalalisha matakwa ya mtu
Hakuna kilichomfanya dogo aolewe na huyo shugamami zaidi ya njaa..! Kwa hiyo yale mamilioni ya bungeni dogo anaanza kujisevia..
 
Huyu mama anaitwa Mama Mushi!aliolewa na Marehemu Mushi alikuwa ofisi mkuu mkoa wa pwani!alifariki miaka 3 au 4 nyuma!....waliachana kama miaka 15 iliyopita,anaogopewa kwa uchawi huyu mama....nendeni hospitali ya bagamoyo mtasikia skendo zake!na kanisa na TAG....anawaliza pesa kila siku anahamia lingine mjanja sana na anatisha kwa uchawi!!!
 
Maini ya ng'ombe haizeeki....tulieni kama hakuna thread za maana. Kinauche we --------? Michael ni under 18 umwite mtoto? Huyo ni Dr. Mwenye akili timamu na alikuwa na malengo yake.....sasa kafika Muhimbili kapata papuchu mpya za FORM 6 kachanganyikiwa.
 
Back
Top Bottom