Nyumba ndogo mwisho kuanzia leo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Nyumba ndogo mwisho kuanzia leo

Discussion in 'JF Chit-Chat' started by Msaranga, Nov 18, 2011.

 1. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #1
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  Wanajamii nilikua nasema kwa mfano kuanzia leo wanaume Tukasema nyumba ndogo basi tunabaki na wake zetu tuu.itakuaje? Nikafikiria itakua ni kilio cha kusaga meno kwa wanawake kwa maana kazi itakua ngumu sana.
  Au wadau mnasemaje kwa hili?
   
 2. M

  Mutambukamalogo JF-Expert Member

  #2
  Nov 18, 2011
  Joined: Jan 25, 2011
  Messages: 397
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Unaonekana wewe mwenyewe ni nyumba ndogo kwa mtu flani!
   
 3. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #3
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mimi mume wa mtu mkuu nimeamua kujivua gamba.
   
 4. Msaranga

  Msaranga JF-Expert Member

  #4
  Nov 18, 2011
  Joined: Feb 10, 2009
  Messages: 959
  Likes Received: 16
  Trophy Points: 35
  mbona kimya jamvini au maada imepitwa na wakati
   
 5. Nkissa

  Nkissa Member

  #5
  Jun 1, 2014
  Joined: Sep 7, 2012
  Messages: 52
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Msaranga

  Nyumba yako unayoiona ni kubwa ndiyo nyumba ndogo kwa mwenzio,kuwa mpole na fanya yako maana ukiamua kumfuatilia mkeo mwanzo mwisho utakufa siku moja hivyo mtizamo wako mimi naupinga 100% kwani nyumba ndogo ni dawa ya stress,...
   
Loading...