life is Short
JF-Expert Member
- Apr 1, 2013
- 4,741
- 3,037
Automatiki huyo ni baba yako (step father) Mume wa mama ni baba !! kweli unauchungu lakini sheria na hiari haikulindi !
Naomba kuwauliza wana jamvi,Mimi ninamzazi mmoja yaani mama ndo aliyebaki kwani Baba yangu alifariki miaka 8 iliyopita kwa upande wetu tumezaliwa wengi na tayari tuna watoto wa kuwazaa wanafikia kama 27 ( wajukuu wa mama ) cha kushangaza mama yetu ameanza tabia ya uzinzi na mbaya zaidi anamleta jamaa mpa home na kulala nae kitanda alichokuwa analala na marehemu Baba yetu,na pia anakuja nae mjini tunapoishi na kupokelewa na kaka yetu na analala na huyo jamaa kwa kaka.mimi hiyo hali napingana nayo na imenifanya nitengwe kwani nilikereka sana nilipogundua.
Nawasilisha

Mjane hazini wewe, usimkosee heshima mama yako. Ana jamaa boyfriend mmoja tu na ndio huyo anayekuwa naye na kuzunguka naye kwanini unaleta picha as if ni malaya?
Bado mwili unadai (hamu anayo) na upweke unamuumiza; hivyo ni haki yake kuwa na mpenzi.
Ndicho nilichomueleza....kiukweli aseme tu kinachomkera kuliko kuwa too general...