pe.livinuu
JF-Expert Member
- Nov 29, 2013
- 502
- 114
Hedhi ===> mwanamke
Hadhi ===> mwanaume
Hadhi ===> mwanaume
Hahaaaa!Duh..........umenigusa mno
wiki iliyopita kuna siku kama nne mfululizo nilikuwa so down
na nilikuwa sitaki hata kupokea simu ya mtu for no good reason..
Yaani nilikuwa sina interest na chochote
ni kula kulala,tv na internet
hata kuzungumza niliona uvivu
kwa kuwa nilikuwa nina matibabu ya malaria nili connect na tiba hiyo
but nilikuwa najiuliza mbona huwa hainitokei hivyo mara zote ninapougua malaria???
Could it be..............?????????????????
ooh without sor come an pick me
kweli mimi huwa na hizo dalili kila baada ya tarehe 28 katika mwezi, hii inakwenda mpaka tarehe 30, nakuwa na hasira siku za mwazo siku ya pili huwa na fura na mchangamfu, nikafanya utafiti na kugudua inatokea kila mshahara unapochelewa na kuwa na hasira na ukishatoka huwa na furaha. kwahiyo inawezekana nakuwa na hedhi ya mshahara ee?
Mimi sina hedhi, sitakuwa nayo na haiji kutokea. full stop
huu utafitii wa kichoko.......Ouups! reseach imewatia watu puresha jaman..sorii oooh,