Kipimo cha uvumilivu wako ni wa hali ya juu..Uzuri mama yako yupo na Mungu amekujalia kipato Mchukue mtoto umpeleke huko. Mwanamke arudi kwao mpaka hapo moyo wako utakapoamua tofauti.Ila kwa sasa hampaswi kuwa karibu rejea maneno yako
Mkuu hivi unaweza kufanya yote hayo bila kulipa? Lakini the major concept here ni kuhusu NACTE kuweka contacts za kuwapata na wao kutopokea kabisa lengo ni nini?
Sent using Jamii Forums mobile app
Niko kwenye process ya kumfanyia mtu application ili aweze kuomba chuo kikuu kama NACTE walivyoagiza kwa watunwa equivalent,bahati mbaya nimekutana na technical problem,hivyo kwa mwenye mawasiliano na hawa jamaa naomba aweke hapa,maana contacts zao walizotoa naomba ni za mapambo hakuna hata moja...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.