Msaada: Unlock Halotel modem

Msaada: Unlock Halotel modem

Mkuu me nimeona app ya Tor browser tu kwa desktop yako. Kama hutojali naomba baadhi ya links nizame...
Naomba kujua kama huyu mtu alisaidiwa, mm pia nina router ya halotel nataka kui unlock iwe universal,
Model number ni R6601, IMEI 868451020008054 pia ni ZTE, inafunguka kwenye browser
 
Naomba kujua kama huyu mtu alisaidiwa, mm pia nina router ya halotel nataka kui unlock iwe universal,
Model number ni R6601, IMEI 868451020008054 pia ni ZTE, inafunguka kwenye browser
kaka mwenyewe napambana nayo kweli bado sijapata software ya ku unlock hiyo kitu
 
lol me ndio nilikuwa nasubiria mrejesho maana hata hawa halotel wamekuwa wajinga internet yao imekuwa slow sana,hivi ukanda huu mbezi ya kimara mtandao gani mzuri kwa internet ila usijibu voda na halotel ndio nazotumia mostly zinazingua tu,tigo sijui hata mara ya mwisho mwaka gani kuwasha internet yao kwa simu yangu huwa naweka sms bundle tu.
mitandao nayotaka jua experience ni TTCL,Airtel na zantel sijui kama hata inafika mbezi
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom