Nataka kununua Continental decoder ushauri tafadhali

Superleta

JF-Expert Member
Aug 2, 2019
466
538
Wakuu nataka ninunue continetal decoder nimeona tangazo lao jinsi ya kufunga king'amuzi chao nahisi wapo vizuri sana

Vipi ubora wa picha?

Vipi channels inadi yake?

Vipi movies za kimataifa?

channels jumla ngapi?

Malipo yakoje?
 
Sio tu kukinunua.

Sikushauri hata kukisogelea karibu.

Kaa nacho mbali sana hiko kisimbusi.
 
ovyo sana hao achana nayo kabisa
Wakuu nataka ninunue continetal decoder nimeona tangazo lao jinsi ya kufunga king'amuzi chao nahisi wapo vizuri sana

Vipi ubora wa picha?

Vipi channels inadi yake?

Vipi movies za kimataifa?

channels jumla ngapi?

Malipo yakoje?
 
Hamna kitu hapo utapata shida na hicho kisumbusi wanakuwa out of service na hawasemi chochote. Nenda StarTimes kama maisha ya kati au Dstv kabisa
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom