Recent content by nkakisali2

  1. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Wewe mwanamke au binti, ukiona unatongozwa sana ujue wewe ni mrahisi na wanaume wanataarifa zako , sio kwamba ni mzuri sana

    So true Mimi nikitongozwa hovyo huwa nakasirika Sana najiuliza hawa watu wananionaje kutongozwa tongozwa hovyo sio sifa
  2. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Mimba imenifanya nichukie kuoga

    Ni kawaida Mimi kabla sijaolewa nilikua nikiona mjamzito yupo rough namshangaa Sana nilivyopata mimba sasa kuna siku nilikua siogo kabisa tena hichi kipindi cha baridi sigusi maji na nilikua sitaki kusuka kabisa kidogo ninyoe kile kipindi Hali ikianza kubadilika mimba ilivyokomaa miezi mitano...
  3. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

    Ni kama secretary Fulani ila majibu mengi yapo mtandaoni muulize chatGpt virtual assistance ni nini utapata majibu kwa kirefu kabisa G
  4. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Ni ujuzi Gani ukijifunza unaweza kupata kazi mtandaoni nakukupatia kipato?

    Mimi najifunza virtual assistance japo wameshakua wengi sijui niendelee au nitafute another skill
  5. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Kwa wazoefu wa masoko makubwa: Mteja akisikia msemo gani ajue hapo anapigwa kwenye bei?

    Nikishataja bei halafu akatae kabisa niondoke unakuta analalamika lakini hakuachii
  6. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Nyumba inauzwa ipo Ada Estate, Kinondoni. Bei ni Bilioni 6.5

    Kwanini real estate bongo inakua over priced? Yani nyumba za kupanga sasa hivi balaa two bedroom Hadi 1.5 kuendelea
  7. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Umefaidika na nini baada ya kuoa mwanamke mpambanaji/mwenye kipato?

    Mi nimeona kwa wazazi nyumbani mama ni mpambanaji faida anayopata Baba ni kubwa habebi mzigo wa familia peke yake mpaka huwa anasema Mungu kampendelea kwenye mke
  8. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania KERO Airtel Router ni mradi wa kuwaibia wananchi? Kifurushi cha 70k 'Unlimited' kinaisha siku 11, Booster ya 30k inafutwa kinyemela!

    Kwanini bado mnanunua Airtel router hii haifai malalamiko ni mengi mno
  9. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Nafikiria sehemu ya kwenda kurelax hakuna

    Nikiwa Arusha kuna visehemu vizuri vzuri vya kupumzika najua sehemu kama tatu pale mjini kwa Dar sijaona open space ambayo hailipiwi labda kule Coco beach
  10. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Njia ya kumuachisha mtoto kunyonya kidole

    Jamani hiyo ni stage katika ukuaji mtoto wa miezi Saba ni mdogo Sana inaweza kua anaota meno nakushauri usome mtandaoni kitu gani cha kutegemea kwenye kila mwezi kuanzia anavyozaliwa jua kila mwezi utegemee kitu gani mfano kule tick-tock kuna madaktari wengi wanaelezea hii stage ya kunyonya...
  11. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Paschal Mayalla: Mwigulu Nchemba hakufurahia Majaliwa, Warioba na Pinda kushangiliwa kwenye mazishi ya Kardinali Pengo

    Paschal Mayala ana akili nyingi hii nchi sasahivi ukiwa na akili nyingi either ukae kimya au utofautiane na serikali na huwezi kua CCM kama unaakili labda ujitoe ufaham ndio utawezana nao
  12. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Mke wangu kaacha ndoa yake kisa kazi

    Kiukweli maisha ya sasahivi utegemee mume tu mshahara wake ndio muendeshe maisha utapata msongo wa mawazo mahitaji ya mwanamke ni mengi Sana madogo madogo mengine ata hawezi kusema sasa hiyo hela yako haitoshi kama yeye ana uwezo wa kujitafutia vihela vyake Acha afanye kazi maisha ya sasa hivi...
  13. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Taja ukweli mmoja mchungu kuhusu maisha ambao imebidi ukubaliane nao?

    1. Usiwe mwema Sana 2. Kutumia akili zaidi kuliko hisia 3. Kutafuta hela Sana hakuna namna utaishi comfortable bila hela
  14. nkakisali2

    JamiiForums Tanzania Wanawake wenye akili na busara safi mnauonaje uongozi wa mwanamke mwenzenu?

    Inasikitisha kwenye uongozi wa mwanamke ndio mambo ya hovyo zaidi yametokea mwanamke mwenzetu katuangusha
Back
Top Bottom