Yeah, Paskali alinyoosha maelezo kiume sana. Kongole kwake mtaalam wa kuuma na kupuliza."Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili kuonesha kwamba sijaumia yaani ile kwamba mimi sijali", - Mayalla
Kaamua kujilipua💣💣Huu mji una habari mpya kila siku. Sasa Pascal Mayalla atabebeshwa zigo la lawama.
Sema ''uwezo'' mkuu. Ni mdogo sana sana na kichwani hana kitu.Mwigulu nyota yake ni ndogo sana... Sema anabebwa tu...
Jamaa fala sana. Anaongea kwa hasiri mpaka kope zinatetemeka kama ana ugomvi mkubwa kwa jamabo dogo kama lile. Inaelekea anamwona Nchimbi kama tishio kwake na huyu muuaji aliyemweka pale.Mwigulu Nchemba ana wivu wa kike.
Mwigulu ni kijana wa JkDuh😂😂😂.
Itakuwa ndio kamwambia avae bendera saa zote.
Mzee wa 'voices from within' aliona hilo.."Na nikamsikia jana mheshimiwa Waziri Mkuu akisema mimi sibabaiki mambo ya kupendwa na kushangiliwa, mimi sifanyi vitu ili nishangiliwe...yaani hiyo maana yake kwa sisi wanasaikolojia ina maana aliumia, yaani mtu anashangiliwa, Waziri Mkuu mstaafu halafu mimi nipo sishangiliwi! yaani sasa ili kuonesha kwamba sijaumia yaani ile kwamba mimi sijali", - Mayalla
Yes mkuu, kuna mambo ukiangalia unaona kabisa nafasi inapwaya kwa kiwango kikubwa sana.Sema ''uwezo'' mkuu. Ni mdogo sana sana na kichwani hana kitu.
😂😂😂. Hapa tuombe mungu tu, huyo titi moja akate moto mapema..Huyo mshamba ni mshirikina ana mganga wake mmoja mwanamke ana titi moja tu huyo ndiye anamtegemea kwenye siasa zake.