Recent content by Nkaka

  1. N

    Zitto Kabwe: Siku hizi Rais anateua watu halafu baadae ndio anakagua vyeti? Vetting imekufa?

    Nijambo LA kusikitisha kuna sofa ya kumpata mkutugenzi wa halimashauri ya jiji ,manispaa na Wilaya ikiwa ni kuwa mwanaharakati ndani ya chama Tawala.Mie nimdogo sana lakini kwa uelewa wangu mdogo DED kimekuwa ni cheo ambacho MTU anapewa baada yakutumikia kwa muda ndani ya utumishi wa umma na...
  2. N

    Msaada kwa wanaojua ada za shule hizi

    Karibu Alliance Girls na Boys high schools .Combinations zote zipo .Ada zetu ninafuu, Mil 3
  3. N

    Maswali kwa CWT (nimeileta ilivyo)

    Ifike mahali kama huna lakuchangia utulie, si kila kitu uchangie.Harafu kwakuzingatia kuwa humu wamo watu kwenye heshima zao iweje Leo unageneralize kuwa walimu ni mapoyoyo.Ninaomba mamlaka ya mawasiliano wakuchukulie hatua uungane na mwenzako aliye mkashifu Mh.Rais.Teaching is the mother of all...
  4. N

    Maswali magumu kwa viongozi wa CWT

    Ninakubaliana na wewe Kwa asilimia 50 ya hoja zako hasa kuhusu tofauti iliyopo katika makato Kwa vile sasa asilimia 2 ile inaufanano na PAYE.Pili katika marekebisho ya katiba ya hivi karibuni haijatamka kiinua mgongo Kwa wastaafu Bali mkono Wa kwaheri Kwa mwanachama anayestaafu.Hata hivyo nami...
  5. N

    Utaratibu mpya kwa wanaotaka kujiunga na MASTER DEGREE UDSM

    Tatizo kunawatu hawajui kuwa jamii forum ni njia mhimu yakupashana habari.Viongozi wakubwa hats Mkuu Wa nchi hawezi lala bila kupitia humu.Usilete hasira zako zinazotokana na kukosa nafasi UD kuwaaminisha watu kuwa UD ni so discriminative.
  6. N

    Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    Kusema walimu ni mburura hiyo ni fallacy of generalization. Wewe kama ni mburura tafuta mburura wenzako nakumbuka walimu tuko makundi tofauti kuanzia mwalimu Wa awali hadi mhadhiri sasa wewe nakushangaa.Kama ulijiunga ualimu Kwa kulazimishwa either na ufaulu wako hafifu usitake kuna wote wako...
  7. N

    CWT kukata mshahara bila idhini ya mwalimu

    Tatizo lako ni uelewa, nimetolea mfano Wa kesi zinazo gharimikiwa na chama kama moja ya majukumu yake. Nikushauri tu kama umeshaanza kukatwa nenda office ya chama uonane na Katibu atakupa utaratibu kwingine vinginevyo ikiendelea kulalamika wala haikusaidii.
  8. N

    CWT kukata mshahara bila idhini ya mwalimu

    Mwalimu nikuombe tu kabla hayajakukuta usikiseme vibaya chama cha walimu kimsingi tuombe maboresho lakini usiseme hakifai.Walimu hasa mnaoanza kazi na hasa Kwa kuzingatia mnamaliza vyuo bado wabichi chama kimewanusuru wengi nusura wafukuzwe kazi na utumishi Kwa sababu yakupenda watoto Wa...
  9. N

    CWT kukata mshahara bila idhini ya mwalimu

    Mie nafikiri mwalimu hupaswi kulalamika.Watumishi wote ni wanachama Wa vyama vya wafanyakazi Kwa kada wanazohudumu either kwakuomba wenyewe au Kwa mjibu Wa sheria ya kazi na mamhusiano kazini.Hata hivyo wewe unafurahia wenzako wakatwe agency fee lakini chama kinapokomaa kutoka walimu wapate...
  10. N

    Hebu angalieni hili kuhusu kusomea Ualimu wa Shule za msingi 2016/2017

    Ualimu hauhitaji wanyoa viduku lakini hata huko afya Nina wasiwasi na a in a yawatu wanaopelekwa ndiyo maana kesi za wahudumu kuwatukana manesi haziishi vijana hao wapelekwe course ya mortuary attendance huko watafiti
  11. N

    Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    Wewe unaye sema walimu ni mburura you should come back to your senses otherwise you know not what you are talking.
  12. N

    Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    Naomba nikusahihishe mahesabu hayawezi kuwa edited badala yake yanakuwa audited.CWT kama zilivyo taasisi nyingine zinakaguliwa na internal auditors lakini tuchukue katiba ya CWT tuisome tuweze kujua mgawanyo Wa madaraka na kazi za viongozi na kamati ni zipi.Wewe kwenye kituo cha kazi kuna...
  13. N

    Mwantumu Mahiza ulikuwa mfano wa wanawake jasiri, wachapa kazi

    Hivi watanzania nani aliyeturoga, huyo mama kama nikula alishakula lakini kwangu naona alicheleweshwa kuondolewa alikuwa hana credibility yoyote zaidi yakuleta mipasho
  14. N

    Chuo Kikuu Dar es Salaam kinatia aibu

    Kwanini tunakuwa wakulaumu kiasi hiki.Hivi wote kwenye GPA kuwa mnataka mkafundishe vyuo halafu sector nyingine zichukue makapi? Tumeona tatizo LA ubovu Wa miundombinu kweli hili hakuna anayepingana nalo lakini ushauri Wa mini kifanyike ni kipimo cha usomi wetu.Binafsi nipo against na dhana...
  15. N

    Kujitoa CWT na kujiunga CHAKAMWATA

    Nasikitika sana ninapoona walimu tukilikimbia tatizo Kwa naona hiyo.Ebu tujishughulishe kusoma sheria za kazi na mahusiano kazi ni na trade union act tuweze kujua CWT IPO kisheria au LA.Mie nilikuwa kati ya walalamikaji naomba moja kuhusu CWT lakini nimeelimishwa nakujua kuwa CWT ndicho chama...
Back
Top Bottom