Kusema walimu ni mburura hiyo ni fallacy of generalization. Wewe kama ni mburura tafuta mburura wenzako nakumbuka walimu tuko makundi tofauti kuanzia mwalimu Wa awali hadi mhadhiri sasa wewe nakushangaa.Kama ulijiunga ualimu Kwa kulazimishwa either na ufaulu wako hafifu usitake kuna wote wako hivyo.You should learn to respect people's professions!