Msaada kwa wanaojua ada za shule hizi

Magody

Member
Aug 1, 2015
14
13
Nataka kujua ada za shule hizi kwa michepuo ya sayansi boarding jwa anaejua plz inform me
Shaaban Robert high school
Tusiime high school
Loyola high school
Kamene high school
Alpha high school
Africa Tabata high school
St. Mathew
Mbezi beach
Rosimin
Rosimin kwa anaeijua
 
Ndugu wana jf. Natafuta nafasi ya kazi yakufundisha. Mimi ni mhitimu wachuo kikuu katika degree ya ualimu katika masomo ya hesabu na geographia. Ninauwezo wa kufundisha sekondary kuanzia kidato cha kwanza hadi cha sita na pia nina uwezo wakufundisha collage. Kwa maelezo zaid pamoja na cv zangu naomba tuwasiliane inbox au namba hii 0744704597.
 
Acha uvivu fungua uzi wako
 
nenda kalime matikiti
 
kwa nn usifungue thread yako bt mi nadhan nenda skul private km unaweza fika mtwara kuna shule km mikindani Islamic na mtwara Islamic unaweza pata kazi ususani mathematics
 
Nataka kujua ada za shule hizi kwa michepuo ya sayansi boarding jwa anaejua plz inform me
Shaaban Robert high school
Tusiime high school
Loyola high school
Kamene high school
Alpha high school
Africa Tabata high school
St. Mathew
Mbezi beach
Rosimin
Rosimin kwa anaeijua
Rosimin ipo Tanga..
 
Karibu Alliance Girls na Boys high schools .Combinations zote zipo .Ada zetu ninafuu, Mil 3
 
Back
Top Bottom