Wewe jamaa umenyoosha maelezo kuliko kawaida,nimewahi kumsikia Grace Matata ni habari nyingine kabisa,ukija kwa Nuruely ni kweli pia,ukweli ni mmoja pia Wanamuziki wengi wanaojua wanachokifanya walishakataa kunyonywa siku nyingi,na kwasababu ya umungu wa Ruge kwenye Tasnia ya muziki wetu waBongo...
Watu wanajaribu kujibu majibu rahisi kwa maswali magumu,hebu mnaomuona huyo binti hana adabu jaribuni kijivika viatu vyake kabla hamjasema chochote,na yeye ni binadamu.Hata mimi naona mzee yupo wrong ila kwa bahati mbaya tumekuzwa na fikra za kuamini kwamba mzazi hakosei.
Ni vitu vinavyokera kuona kwamba kuna baadhi ya watu wamekuwa mabepari wa wasanii,ukweli ni kwamba wanapoamua kujitoa kwenye hayo makundi,mabepari hayo huamua kufanya kila aina ya fitina na hila ili wasanii hao wasifike popote.Siku ambayo wasanii wataacha unafiki na kuamua kuungana kwa dhati...
Nilipata bahati ya kusikiliza wakati mama yake anaongelea hilo swala,jamaa alifikia hatua mbaya sana,hakuna mwanamke zaidi ya mama aisee amefanya kadri alivyoweza kuhakikisha Ibra anapelekwa Sober
Nipo kwenye boti yake,bahati mbaya sana au nzuri sana ni kwamba hamna hata watu wangu wa karibu waliowahi kukubali wasanii wa hip hop ninaowakubali,big up kwa ROMA,MAPACHA,FANANI,KALAPINA,SOLO na WATENGWA
Ungenipata mm tungeendana sana,ndyo tatizo kubwa nililonalo kwenye mahusiano,nasema ni tatizo maana kuna wakati mpaka mpenzi wangu anakasirika,lkn nampenda and I want to know kila anachofanya
Mimi kiukweli mtu akiniambia sipaswi kugusa simu ya mpenzi wangu simuelewi,sijawahi kuficha,kuweka silent wala kuzima simu yangu nikiwa naye,kuwekeana mipaka kwenye kushika simu ni dalili za kusalitiana,Mkuu u have all the right kufanya ulichokifanya na labda imekuwa jambo zuri umegundua...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.