Nyie wenzangu huwa mnafanya nini? Nishaurini kabla sijaamua pumba.

Huna haja ya kumtafuta jamaa, hizo picha uoizosave na account details fb sijui nini zote za nini? Msela yupo kwenye haki, yeye mwanaume kwa nini asiwe attracted kwa mwanamke unless ni shoga, sawa na wewe unavokua attracted kwa mwanamke,mau kwa mke wako kabla hamjaoana obviously ulikua attracted... swala linakuja kwa mwanamke wako na wewe, je umemkosea au kumnyima nini hadi akufanyie hivo, ni wife huyo, pili huyo mwanamke kajitambulisha kua she is married au kwingine inajulikana kua hata ndoa hamkuwahinfunga wala kukutana, ingekua mimi aisee wife angeniambia nimeoungukiwa nini, na siku hiyo angeniambia kwa nini hakuniambia nikitafute siku zote hadi akatafute kwingine, lazima nimlambe viboko, mwanamke chezea kote nionyeshe dharau nifanye hivi ntakuvumilia hata unitembeze uchi barabarani, we ni wife ntakuvumilia, ila kaguse mwanaume mwingine, hahaha nitakutandika fimbo siku hiyo utajuta kuolewa.. mura tatigha mura!!
 
Dah! pole manake ni mtihani mkubwa! Na usipokuwa mjeshi hapo hali takuwa mbaya
 
Nifundishe ya kuongea nae ya busara kwa mbali naona kama nanyemelewa na jazba vile.

Mkuu just normal talk, istoshe huyo ni mkeo kwhyo wew ndio unajua aina gani ya maongezi huwa munatumia wakati wote wa shida na raha, ila ni vzuri sana kama utamuuliza nin tatizo..
 
Mimi kiukweli mtu akiniambia sipaswi kugusa simu ya mpenzi wangu simuelewi,sijawahi kuficha,kuweka silent wala kuzima simu yangu nikiwa naye,kuwekeana mipaka kwenye kushika simu ni dalili za kusalitiana,Mkuu u have all the right kufanya ulichokifanya na labda imekuwa jambo zuri umegundua kinachoendelea
 
Kusanya ushahidi vya kutosha then
1.Muite faragha kwa upole na kwa utulivu wa ajabu.Muulize jinsi anavyojisikia katika mahusiano yake(wewe na yeye). Muulize vipi anayafurahia ama bado hajapata alichokuwa anakitarajia kwenye mahusiano.

2.Muulize sasa kuhusu huyo kiumbe mbembelezaji. But make sure una ABC za huyo mwizi wako hata ikibidi google his details.

3. Chukua maamuzi kutokana na majibu ya 1 na 2! Kila la kheri!

NB:
never make permanent decisions based on temporary motives!
...Mzee heko...ushauri umetulia sana ...aufanyie kazi atapata majibu mazuri
 
tututututututututututututututututututuuuuuuuu.....ijaze vizuri kabla ya kazi mkuu ila usije ukamuacha mama hai akiendelea na maisha banah..Lenga kwa umakini epuka kupanic!!!!
 
Baada ya inbox ungehamia sent items nadhani uko ungepata majibu mapema pengine hata uku ucngekuja ila haujachelewa pamoja na ushauri wa umu rudi tena kwny ka-cell phone ka- shemeji angalia response yake duh sema mpwa una moyo wa kijasiri mm ht kulala nae ningeshindwa lzm ningekinukisha dzain,nlipitaga kwny forum ya wanasayansi kule wana ka-teknolojia ya kusoma msg, kucheki calls bila yy kujua yaani infos zinaingia na kwako pia sema usiwe una miliki kale ka-silaha.
 
Mimi kiukweli mtu akiniambia sipaswi kugusa simu ya mpenzi wangu simuelewi,sijawahi kuficha,kuweka silent wala kuzima simu yangu nikiwa naye,kuwekeana mipaka kwenye kushika simu ni dalili za kusalitiana,Mkuu u have all the right kufanya ulichokifanya na labda imekuwa jambo zuri umegundua kinachoendelea

Kweli kaka.
 
Upepo tu huo unapita....mweleze umechukizwa na sms na picha toka kwenye cmu yake hakika atajirekebisha, kamwe usichukue uamuzi mgumu utajuta..
 
Back
Top Bottom