Recent content by Njee

  1. N

    JamiiForums Tanzania Nina mashaka na hizi sifa za makada wa CCM kwa Zitto Kabwe

    Ni kweli Zitto licha ya mapungufu aliyonayo lakini bado ni Kijana bora kabisa kwenye siasa za upinzani
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    Ttatizo ccm wenzangu mnatumia lmg kuua swala. Haya mnazuia bajeti isisomwe mbona basi tena ilishatoka yote jana hiyohio?
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kapteni Komba: Tundu Lissu aende Jeshini

    Hivi hajui kuwa lissu alishapiga kwata kitambo? Ngoja apate nafasi amchane. Kwaya mbali na hoja mbali.
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba,Tupe kauli yako baada ya mahakama kumfutia Rwakatale kesi ya Ugaidi

    Jamani mimi nakula bana
  5. N

    JamiiForums Tanzania Hali ya Mtwara mchana huu

    chezea makonde weye niboko bana
  6. N

    JamiiForums Tanzania Slaa wa CHADEMA alivyopokelewa nchini Zambia

    Ungetuwekea picha basi mkuu
  7. N

    JamiiForums Tanzania Ajali imetokea muda huu Ubena, ni MJ ya Dar- Kondoa

    Umeniwahi,ni kweli nipo hapo sasa hivi nitarusha picha nipo kwenye gari mkuu. Basi linaitwa mj lilikuwa linaelekea kondoa. Ajali imetokea baada kuigonga baiskeri. Watu 2 wamekufa papo hapo mtoto mmoja na mkubwa mmoja. Majeruhi wamekimbizwa moro. Nimechukua clip ya wahanga na picha pia.
  8. N

    JamiiForums Tanzania Tujikumbushe mawaziri wazamani

    c Kisanji, munanka,p. bomani,h.kolimba,f.kazaura,seba kinyondo(mitemba)
  9. N

    JamiiForums Tanzania Kila la kheri kwa wanaofanya mitihani ya cpa

    Ni kweli tunawaombea kheri hili jambo jema
  10. N

    JamiiForums Tanzania Mlipuko mkubwa watokea kwenye Kanisa Katoliki Arusha, watu kadhaa wajeruhiwa

    Jamani sasa hii ni kitu gani tena? Udini huo
  11. N

    JamiiForums Tanzania Historia fupi ya jina la slaa katibu mkuu wa chadema.

    Sasa sisi tujadili majina ya watu humu? Mimi ukoo wangu njoka maana yake nyoka haya jadili sasa. Wacheni hizo bana unatupoteza tujadili tembo wetu baada ya miaka5 kwisney. Toa hiyo kitu banaaaa
  12. N

    JamiiForums Tanzania Nahodha - Marufuku majeshi yetu kuajiri raia

    Nimesikia ajira 10,000 za jkt kila mwaka eti ni kuimaliza cdm 2015 kwani wengi wataiona haina maana kwani kazi watakuwa wamepata. Hawatakuwa na cha kuwaskiliza zaidi ya serikali ilowapa ajira...kama ni kweli basi jk atakuwa amecheza kudhungu itabidi cdm imuunge mkono.
  13. N

    JamiiForums Tanzania MSAADA: Zilipo ofisi za makao makuu ya TALGWU taifa hapa Dar Es Salaam

    Zipo ilala nadhani mtaa wa tabora au mbele ya soko ingia kushoto kama unatoka kkoo uliza iko ghf ya pili kwenye jengo la gh 3
  14. N

    JamiiForums Tanzania Kama huwezi utani usifungue hapa.

    twende si umeanza- mimacho imekutoka kama NIMECHINJA JOGOO WAKO WA SHUGHULI? MIGUU YAKO KAMA UNAKUJA HUKU? SURA YAKO KAMA ---- LINAOGOPA SINDANO
Back
Top Bottom