Hali ya hatari kwa CCMKama hali ni hiyo si bora watangaze hali ya hatari?
CCM watakata umeme ili mshindwe kusikiliza hotuba ya wizara...
Wana JF, updates kutoka Mtwara zinasema wananchi wameitikia wito wa kutofanya kazi yeyote na kwamba ofisi za serikali tu ndio zinatoa huduma huku kila mwananchi akiwa nyumbani kwake.
mbona leo ni kuna muendelezo wa mjadala wa bajeti ya uchukuzi ya dr.mwakyembe..nani kawaambia leobajeti ya wizara ya nishati na madini...ukweli hili jambo la gas kuna watu wako nyuma ndio wanahamamsisisha wananchi vyema serikali ikawa makini na hawa watu wachache wanao chochea vurugu baada ya mshakamano na kuw, aeleza wananchi ukweli.....
okey .....my mistake! ninaapologize kwa hilo ila huyo maundumila hajielew kabsa
Kwa hili siwaungi mkono