Slaa wa CHADEMA alivyopokelewa nchini Zambia

Slaa wa CHADEMA alivyopokelewa nchini Zambia

Geofrey Andrew Sanga

JF-Expert Member
Joined
Apr 8, 2013
Posts
251
Reaction score
55
MAPOKEZI YA DR SLAA NCHINI ZAMBIA YALIVUNJA REKODI.ALIBEBWA KWA NDEGE ZA KIJESHI NA KUPIGIWA MIZINGA.WANANCHI WA ZAMBIA WALIMLILIA. Katibu mkuu wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) DR WILBROD SLAA alipokelewa kwa shangwe na heshima kubwa sana nchini Zambia..

​Dr Slaa aliwasili nchini Zambia kwa ziara ya siku 2 tarehe 9/5/2013 na kuonana na watu mashuhuri na maarufu nchini Zambia tarehe 10/05/2013.DR SLAA alipofika eneo la ipoke nchini Zambia yaani takribani kilometa 30 kutoka Tunduma(TANZANIA) alikutana na umati mkubwa wa maelfu ya wananchi wa Zambia wakipiga mayowe kuonesha alama "V" ambayo ni ya ushindi inayotumiwa na CHADEMA.

Kwa heshima na Taadhima Dr Slaa aliombwa abebwe kwenye ndege za kijeshi za nchini Zambia kuelekea jiji la Lusaka na hivyo kuacha magari yake ipoke.DR Slaa alipofika jiji la Lusaka nchini Zambia,alipigiwa mizinga takribani 7 juu na kushangiliwa na maelfu ya wananchi wa Tanzania. Baada ya kupata taarifa hizo,niliamua kumpigia simu rafiki yangu ambaye yuko Lusaka Zambia bwana ANYIMIKE KASEKWA kutaka kupata taarifa ya nini kinachoendelea.

Rafiki yangu alinijibu kwa furaha sana utadhani ni mtu aliyeahidiwa kwenda mbinguni dakika chache zijazo. Bw Anyimike kwa kuwa na furaha isiyo kifani alinijibu tu kwa kifupi "Mwaka 2015 CHADEMA inachukua Dola".Nilipotaka ufafanuzi alisema mimi sina mengi wewe ongea na rafiki yangu huyu mzambia atakueleza nini kipo hapa.

Bwana Anyimike alimpa simu rafiki yake na mazungumzo yetu yakaanza kwa lugha ya kiingereza."HOW ARE you?" I greeted,"Fine sir" he replied."Can you give me a picture what's happening and what's your comment?" I interrogated.He replied that " there is a jovial mood of the oppressed Zambians who were oppressed by the former presidents but now we enjoy the situation and now we enjoy the fruits of removing incumbent system and we opted the opposition party that meets people's needs and interests and not the few corrupts" ,he replied." What's your suggestion to Tanzanians who are still under the incubant system of rotten corrupts party of ccm that has annihilated the poor as long as you have seen the way Dr Slaa is accepted within and outside Tanzania ,ZAMBIA inclussively as you witness by your own eyes?", I asked.

He replied that,I wonder why Tanzanians are still under the darkness of mind? I dont know why Tanzanians didnt elect this political figure in the general election of 2010 because if even the Zambians appriciates him that's why there are Thousands of the majority here".He continued to say that "If The coming General election in Tanzania, andTanzanians have not put him in to power,I will compaign for the constitutional amendment of Zambia to give room for atleast Dr Slaa to be the prime minister or even the minister of Zambia for the betterment of the people.I appriciates two political figures that is Dr Slaa and prof Lipumba only", he concluded .

I real laughed a lot for those fantastic words.Baada ya ziara ya Zambia,tarehe 11/5/2013 Dr slaa alielekea wilaya mpya ya momba mkoa wa mbeya na kufanya mkutano mkubwa sana mjini Tunduma (boda ya Tanzania na Zambia) na tarehe 12/5/2013 Dr slaa alielekea wilaya ya mbozi mjini vwawa ambapo alifanya mkutano mkubwa sana na bahati mbaya wananchi watatu ambao wote ni viongozi wa Chadema kata ya iyula Waligongwa na bus la sumry lililo wafuata pembeni mwa barabara wakati lina overtake lorry na makamanda hao wakafariki na Dr slaa akashiriki katika mazishi na kutoa shilingi milioni 1. MUNGU AZILAZE ROHO ZA MAREHEMU MAHALI PEMA PEPONI,AMINA.

Tarehe 13/5/2013,DR slaa alielekea jijini mbeya na kufanya mkutano mkubwa sana wa hadhara Uyole ambapo zaidi ya takribani watu elf 4walihudhuria.TAREHE 14/5/2013 Dr slaa anarudi jijini Dar es salaam..Ndugu watanzania,kama watanzania tunapaswa kutafakari na kukusanya mawazo ya watu mbalimbali toka nchi mbalimbali.Kwa ushauri tu,kama CHADEMA kitamchagua Dr slaa kuwa mgombea wa Urais Katika uchaguzi mkuu mwaka 2015,watanzania tusifanye makosa tumpe Dr SLAA kura awe rais wa Tanzania ili kuwaunga mkono wananchi wa Nchi mbalimbali wanao tuombea tumpate Dr slaa na wanatuonea wivu lakini pia kwa manufaa makubwa ya umma
 
huyo ndo mzee wa ukweli,ana mvuto wa hali ya juu sana.
 
Duh, hebu andika vizuri mkuu, maana tunapata taabu sana kukusoma, sijui nimeishia wapi!
 
Naam! Inatia hamasa mno!

A lie has speed,but truth has endurance
 
acheni kudanganya watu nyie mitoto vya bavicha .toka lini dr slaa akapigiwa mizinga ? amekuwa lini mkuu wa nchi hadi apigiwe mizinga . labda mnamaanisha bata mizinga .
mnajionyesha jinsi mlivyo vilaza hata hamjui mnaongea nini .
 
Tarehe 9/5/2013? mbona habari hii sijaiona kwenye magazeti mpaka leo? Picha iko wapi? hii post tangu nilipoiona mara ya Kwanza kule facebook moja kwa moja nikajua tu hapa tunatapeliwa .
 
Sasa kuna washamba hapa eti wanataka Dr Slaa akee na Nape kujadili mambo ya Taifa. This is insanity.

Nape hana hadhi ya kukaa na Dr Slaa, hana!...Nape naweza, walao kidogo kukaa na Ben Saanane, tena hata hivo ni kumdharirisha Saanane...yaani Dr Slaa amkimbize mwehu aliyemchukulia nguo? Hatuwezi, mwehu akimbie peke yake na hizo nguo...tunatunza heshima yetu bwana...
 
Hizi ni akili za kibavicha bavicha. Hivi wewe unafikiri Mizinga inapigwa ovyo ovyo. Yaani ninyi hata somo la uraia la darasa la nne nalo mnataka tuwafundishe.

Jaribuni kupata mwanga kwanza wa kile mnachotaka kuandika kuudanganya umma msije kuonyesha ujinga kama ulivyofanya kwa sasa.
 
"Ha ha ha ha ha ha ha"...I laughed when I Did read this thread
 
Back
Top Bottom