Recent content by Nizzoh824

  1. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Changamoto Umeme wa solar kuwah kuisha

    Asante kiongozi
  2. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Changamoto Umeme wa solar kuwah kuisha

    Poleni na kazi jamani, nilikua nachangamoto kwenye umeme wa solar nina solar panel Wat 100, betri N 80 la unga, Inverter 200 W na charge contro changamoto iliyopo hivi vitu vilipo fungwa vilikua vinafanya kazi vizuri na ilikua kipindi cha masika nashangaa kipindi hiki cha kiangazi betr inawah...
  3. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Watoto ni gharama si baraka. Kabla hujafikiria kuzaa watoto tambua hili mapema

    Kwahiyo watu wasingezaliwa wote mngekua matajiri
  4. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Siku ya Redio Duniani: Unasikiliza Redio gani kila mara?

    Clouds fm
  5. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Ili Kutinga Robo Fainali CCL Simba Inalazimika kumvua Ubingwa Wydad Casablanca!

    Haiendi popote hiyo timu hesabun point mojamoja kila mechi si ndio ushindi wake
  6. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Niulize chochote kuhusu programming language

    mkuu pamoja yan nafatilia mwanzo mwisho naimaman tapata kitu hapa
  7. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Kuomba mkopo na Chuo JKT inakuaje?

    we mwachie mtu wako wa karbu akusaide usisahau paspot afatilie me ndo nilifanya hivyo na nkafanikiwa kikubwa unae mwachia awe mfatiliaji kweli
  8. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Sheria ya kuruhusu wenye mimba kuendelea na masomo,je imejaribu kutazamwa kwa upande wa mtu aliyesababisha hiyo mimba?

    sasa hapo kiongozi alietembea na mwenzake ni nan au kubakwa kupo upande mmoja?
  9. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Graduates sikilizeni kutoka kwa malegend wa kitaa...

    dooh huu uzi leo umenifungia siku yangu vizuri, namshukulu mungu nimejiunga na mzee kwenye ufundi ko kidogo mambo si mabaya sana miez hii mi3 naumudu mtaa
  10. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu window 11

    owky asante mkuu
  11. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Msaada kuhusu window 11

    mbona sasa android app hazifanyi kazi
  12. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

    hakuna chochote hapo ni wizi tu waliwah niibia kwenye ac nilikua na 70 nilikuja kutoa 35
  13. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania CRDB wanavyotapeli Wanafunzi wa Vyuo Vikuu bila wao wenyewe kufahamu

    CRDB no waizi na wanaiba sana pesa za wanafunzi me walinifanyia michezo yao yakipumbavu kilichobaki boom lilikia likiingia naenda kwa wakala natoa ela zote napeleka nmb
  14. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Hivi huu ni upole au mimi ni boya?

    yani mkuu unafafa namimi kila kitu ila kwenye mziki me nmejiongeza nimekua tu producer
  15. Nizzoh824

    JamiiForums Tanzania Ili kumuenzi komredi Magufuli pendekezo na 7 la kamati lipewe kipaumbele

    naunga mkono, sijui wajinga wataisha lini hii nchi
Back
Top Bottom