Jamani wadada natafuta Mpenzi ambaye kama tutaenda vizuri tutakuwa Mke na Mume.Awe Mkristo asiwe Mwembamba sana awe Mrefu kiasi rangi yoyote ila napendelea zaidi rangi nyeusi.Mimi nipo Tanga.
Ambaye yuko tayari ani Pm tafadhali.
Kama ni hivyo basi vipanga wote wangekuwa viongozi
Maana wengine walikuwa wanakariri sasa maisha huwezi kuiga wala kukariri kwa hiyo being best student in clas dont reflect what you Re going to be in real world.
Red red wine stay close to me.dont let me be In love its tearing apart my blue heart.red red wkne you keep me feel so fine .you keep me rocking all of the time
Kweli nimeamini uongo wenye maslahi unao nguvu kuliko ukweli ambao hauna maslahi.mnang'ang'ania eti ev imetulia kwani kila mtu si anaweza kuandika kitu chochote mwambieni ascan hivyo vyeti aviweke humu na awataje clasmate wachache aliosomanao hiyo mba na hiyo phd ya kichina. Ila mmesahau kuweka...
Ninamuunga mkono boliver
Huyu jamaa anaitwa lucas kapinga webiro aliwahi kufanya kazi katika manispaa ya arusha na alishawahi kudanganya kwamba ana cpa kitu ambacho siyo ukweli
Fanyeni reference manispaa ya arusha
Msiwe watu wa kuamini kila kitu.
Kuweni makini hakuna cha makerere wala...
Wakuu huyu jamaa ninamfahamu vizuri na hiyo cv ni ya uongo
Form six ni kweli amemalizia arusha second mwaka 2000 chini ya mkuu wa shule shayo au don kii.ngoja na wengine nao watasema
i hae only one thng to tell you and am sure you will recognize it while it is too late.
majuto ni mjukuu.
nothing new you can get out of the one you think you love him more.my sister nothing new you will blame yourself.
kuna mwanamziki aliimba haya maneno
you will never miss your water till...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.