Huyu Dkt. Lucas Webiro ni nani?

Huyu Dkt. Lucas Webiro ni nani?

Status
Not open for further replies.
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!

Kijiswali cha kizushi Mkuu: Ni Halmashauri gani hiyo alikoiba? Ni hapo kwenye red panapohusika jamaa yetu. Hebu tupatie wanajamvi wenzio jina la Halmashauri hiyo tafadhali; ni curiosity tu.... ni kwenye Halmashauri gani huko alipewa kazi kuhandle hela akaziiba?
 
Huna lolote mnafiki wewe.Dr Webiro kila wiki anapiga mikutano Bunda na ameshatembea karibu vijiji vyote.

Anafungua matawi kama mvua na mtu wenu Stephen Wassira anapumulia mashine.

Kawaambie wanaCCM wenzako nimewakuta wako macho hawadanganyiki.

Hata mafisadi wana uwezo wa kueneza chama na kufungua matawi... Mambo anayoyafanya hayamzuii kufisadi. Ishu ya msingi ni kuchunguza kama ni kweli na siyo eti kisa kufungua matawi ndiyo umwone ni msafi. Mkuu huwa nadhan una uelewa kumbe na wewe kichwa kitupu.
 
Yaani Mtu anasoma tu C.V na kuanza kumsifia mtu,tuna safari ndefu sana!
 
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!

Naona mnahamia kwenye matawi sasa..baada yakushidwa kwenye Visiki vya mpingo(MASHINA)
 
Hivi vichwa tunavihitaji kutusaidia katika ukombozi wa taifa hili.

Mkuu hii nchi haihitaji watu wenye akili sana inahitaji watu wenye uzalendo wa hali juu na uchungu wa kuitoa nchi kwenye umasikini hata ccm kina vichwa vikali sana akina Muhongo,Tibaijuka,Magufuli,Magembe n.k lakini hamna jipya ni bora kilaza mwenye uzalendo wa kweli kuliko kichwa asiye na uzalendo.I hve no comment concerning this guy cause I dont him my above comments are in general perspective
 
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!

Mkuu Bolivar acha longolongo na wivu wa kike! Dkt. Webiro ana kesi gani na katika halmashauri gani?
Kusoma na Magesa Mulongo ndio nini kwani siku hizi kuna shule za wanaccm na za wana Chadema? Au ukisoma na mwanaccm basi na wewe unakuwa ccm? Kuna watu mna akili zinafanya kazi anti clockwise!
 
Last edited by a moderator:
Wakuu huyu jamaa ninamfahamu vizuri na hiyo cv ni ya uongo
Form six ni kweli amemalizia arusha second mwaka 2000 chini ya mkuu wa shule shayo au don kii.ngoja na wengine nao watasema
 
KIONGOZI WA CHADEMA KANDA YA ZIWA MASHARIKI,KADA WA CHADEMA,MWANACHAMA WA CHADEMA,MLEZI WA CHADEMA BUNDA MJINI HAPA MAWASILIANO NA ELIMU YAKE.

P. O. BOX 15582 ARUSHA, TANZANIA, EAST AFRICA
+255(0)767820074(Home)
+255(0)755 349703(Office)
+255(0)685475322(Weekend)
Email: webirogl@yahoo.com
TANZANIA.

 Doctoral Degree [Ph.D in Economics] College of Business and Management Sciences at Makerere University, June 2011 with distinction award.

 MBA Finance (with distinction) Head of Accounting Department, Faculty of Commerce and Management, University of Dar es salaam, February 2005.

 BCOM accounting (with 1st class Hons), University of Dar es salaam, June 2003.

 Advanced Secondary Certificate Education, Arusha secondary school, May 2000 with Division one of Four Points.

 Ordinary Secondary certificate Education, Bunda secondary school November, 1997 with Division one 8 points.
.....haya ndo maneno sasa, CV yenye uzito: siyo zile blaablaa za Mwigulu Nchemba
 
Ninamuunga mkono boliver
Huyu jamaa anaitwa lucas kapinga webiro aliwahi kufanya kazi katika manispaa ya arusha na alishawahi kudanganya kwamba ana cpa kitu ambacho siyo ukweli
Fanyeni reference manispaa ya arusha
Msiwe watu wa kuamini kila kitu.
Kuweni makini hakuna cha makerere wala ndugu yake makerere
Kwa wana udsm b.com 2004 wanamfahamu vizuri sana
 
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!

ukimaliza nenda kachukue buku saba yako pale lumumba ukimaliza kazi inayokuweka hapa mjini
 
.....haya ndo maneno sasa, CV yenye uzito: siyo zile blaablaa za Mwigulu Nchemba

+×÷#..Is that CV or educational background...???
... even just CV hujui...??

.
◇◆•○●★☆ God we need your MERCY immediately..plz God, ur people are perishing...¡¡¡¿¿
 
Yaani Mtu anasoma tu C.V na kuanza kumsifia mtu,tuna safari ndefu sana!

..Is that CV...?? tht is just EDUCATIONAL BACKGROUND only...period...¡¡¿¿

... I hv hard time to most people hasa hapa Tz..... watu wengi hawajui vitu vingii ACCURATELY, ATTENTIVELY & being SENSITIVE TOO ....hawajui... usikute hata huyu ni PhD holder Webiro anaita CV hiyo...& I hope so...

==>> kaazi kweli kweli.... I swear to Mungu ...¡¡¡¿¿
 
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!
wanajf kama mawazo haya ni sahihi wazee wa EPA wako wapi? na huyu ndugu yupo sehemu ngani? ukombozi sio majungu usi chafue jamvi kwa uogo huu ni fidia nenda bank kesho ulipwe.
 
kiongozi wa chadema kanda ya ziwa mashariki,kada wa chadema,mwanachama wa chadema,mlezi wa chadema bunda mjini hapa mawasiliano na elimu yake.

P. O. Box 15582 arusha, tanzania, east africa
+255(0)767820074(home)
+255(0)755 349703(office)
+255(0)685475322(weekend)
email: webirogl@yahoo.com
tanzania.

• doctoral degree [ph.d in economics] college of business and management sciences at makerere university, june 2011 with distinction award.

• mba finance (with distinction) head of accounting department, faculty of commerce and management, university of dar es salaam, february 2005.

• bcom accounting (with 1st class hons), university of dar es salaam, june 2003.

• advanced secondary certificate education, arusha secondary school, may 2000 with division one of four points.

• ordinary secondary certificate education, bunda secondary school november, 1997 with division one 8 points.

cv kama ya nape
 
Kweli nimeamini uongo wenye maslahi unao nguvu kuliko ukweli ambao hauna maslahi.mnang'ang'ania eti ev imetulia kwani kila mtu si anaweza kuandika kitu chochote mwambieni ascan hivyo vyeti aviweke humu na awataje clasmate wachache aliosomanao hiyo mba na hiyo phd ya kichina. Ila mmesahau kuweka na cpa.baba kite upo humu? Saidia wanajanvi
 
jamani JF imevamiwa na makajajanja. huyu jamaa Webiro ni tapeli tu. anaishi arusha alikua mhasibu jiji arusha anakesi mahakamani.
huko bunda hana mashiko ni propaganda tu za kutafta umaarufu wa kisiasa.
 
Niwaulize makamanda wa CHADEMA kama mnamfahamu vizuri huyu jamaa.

Kwa kifupi the guy is corrupt kuliko a good number of mafisadi wa CCM. Ni vile tu hajapata nafasi ya kuiba vizuri. Hivi mmefuatilia kesi zake za wizi kwenye halmashauri? He is an opportunistist of the highest order! He stands for nothing except power. Hatuwezi kuleta mabadiliko nchi hii kwa kuwategemea watu kama yeye. Huyu ni msanii wa kiwango cha juu kabisa. Mnajua ni school mate wa mkuu wa mkoa wa Arusha (Magesa) na aliingia CHADEMA baada ya Magesa kuhamia Arusha? Je mnafahamu mawasiliano yake na Magesa?

Nisidhaniwe nina chuki binafsi na huyu jamaa, la hasha ni mapenzi yangu tu kwa mabadiliko chanya kwa nchi hii ndio yamenisukuma kuandika hii. This guy si mpiganaji, he is a gun for hire na he doesn't belong there. CHADEMA si mahala pake

Amkeni makamanda mmeingiliwa!

Ndo utueleze sasa hayo mabaya yake tuyajue kama yapo.
 
jamani JF imevamiwa na makajajanja. huyu jamaa Webiro ni tapeli tu. anaishi arusha alikua mhasibu jiji arusha anakesi mahakamani.
huko bunda hana mashiko ni propaganda tu za kutafta umaarufu wa kisiasa.
kamanda ona kazi anazozifanya huko Bunda.
 
Attachments

  • Photo-0810.jpg
    Photo-0810.jpg
    140.2 KB · Views: 120
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom