Simu ya kiganjani

Simu ya kiganjani

Kwa ndoa za siku hizi zimekuwa na michepuko ming

Watu sii waaminifu...tabia za zimebadilika kila mtu anapenda usiri kwa maana sii waamifu
Na hili ni tatizo ule upendo na kusema tuu mwili mmoja kwa ndoa nyingi ni uongo

Wanawake wa Leo wanasema ahadi ile ni maneno tuu na wengine hutamka bila kuelewa wakisemacho
 
...tangia niijue jf huu uzi hata sikumbuki ni mara ya ngapi kujirudia...
 
Watu wanaingia wapya na wangependa kujua maoni ya wana jamii khs hili.
 
Wanawake wa Leo wanasema ahadi ile ni maneno tuu na wengine hutamka bila kuelewa wakisemacho

Sio wanawake hat wanaume pia na kumbuka baba ndo kichwa cha familia

Ndoa siku hizi nyingi ni jina tuu kila mtu ana yake na usiri wake

Kikubwa kama unaona mwenzio anafanya Yale majukumu yake hakuna dalili za michepuko mshukuru Mungu na usipekue simu yake cos unaweza haribu furaha yako ya maisha
Na kama ni hawara au mchepuko usijaribu kupekua kabisa utaweza kupoteza maisha
 
Last edited by a moderator:
Sio ivo, anataka Uhuru gani? Anapaswa kuomba ruhusa kuitazama simu yako. Like "samahani Mme/Mke wangu, naweza tazama au tumia simu yako kwa muda huu"?

Akikuambia hapana!
 
Sio wanawake hat wanaume pia na kumbuka baba ndo kichwa cha familia

Ndoa siku hizi nyingi ni jina tuu kila mtu ana yake na usiri wake

Kikubwa kama unaona mwenzio anafanya Yale majukumu yake hakuna dalili za michepuko mshukuru Mungu na usipekue simu yake cos unaweza haribu furaha yako ya maisha
Na kama ni hawara au mchepuko usijaribu kupekua kabisa utaweza kupoteza maisha

Na ikitokea labda mumeo yako anakagua na password anataka kujizua ukikataa yupo tayari hata kukupa mkong'oto lakini ya kwakwe usiguse tena ukitaka ugomvi gusa simu yake napo hapo unaona ni sawa
 
Weeeee wanaume wengi mkuki mtamu kwa nguruwe simu zao password kila kona kuifungua password sms , wassap duu mbona utachoka na kichapo utachezea
 
Hapaswi chukua simu yako kibabe hata km kakununulia
 
mwili mmoja. simu mbili. kweli serikali tatu ni lazima.

Hahahaaaaa..... mkuu unaniua mbavuuu. Mbili kwa kuwa sio muda wote mtakuwa pamoja. So kila mmoja kuwa kuwa na yake ni suna
 
Weeeee wanaume wengi mkuki mtamu kwa nguruwe simu zao password kila kona kuifungua password sms , wassap duu mbona utachoka na kichapo utachezea

kwa hiyo unakubaliana nalo yako akague yake usiguse kabisa
 
Back
Top Bottom