Nikuhakishie sifa ulizoandika ni za nje sana, unapaswa kuwa makini kumbuka mme mwema hapatikani kwenye mtandao eti. subiri wa kwako utampata tu maana watu humble wako wengi lakini unapaswa kuwa humble kwanzo.
Ku crame ndio nini? is that english? Ok una maana kukalili? sina maana hiyo najaribu kukuambia uhalisia sifa alizotaja zote za nje?Acha ku crame maisha ww nani alikwambia Huwez pata mme mwema kwenye mtandao ??
Wap ni special place ya kukutana na mwenzi wa maisha yako ??
Note: Tuliopo humu ndy tuliopo huko mitaani so ondosha mawazo mgando
Ku crame ndio nini? is that english? Ok una maana kukalili? sina maana hiyo najaribu kukuambia uhalisia sifa alizotaja zote za nje?
humble!??? wapi le mutuz nation....
Naona umempata wa kukuoa sasa etina wewe kukalili ndio nini?? hujui kiswahili?