Recent content by Nimrod

  1. N

    Sijawahi sex hata one day

    kama hujawahi, jaribu kukaa na rafiki yako ambae ni mzoefu ktk mambo hayo, usione aibu kumweleza, atakupa mbinu kamilifu. Ukifanikisha, pls play safe! I mean use condom,
  2. N

    Tatizo la Mabaka, Mba na Fungus (Fangasi) sugu na kuwashwa sehemu za siri kwa wanaume na wanawake- Fahamu chanzo, Dalili na Matibabu yake

    tatizo la fangasi linatesa sana, mimi nilisumbuka sana, pls tumia dawa inaitwa cateconazol, sijaiandika kitaalam lakini inafahamika ukiwaeleza
  3. N

    Scientific evidence ya uponyaji wa babu

    jamani wale watu 200 wako wapi? Mwenye taarifa nao atujuze,
  4. N

    Fahamu kuhusu matumizi ya OverDrive (OD) kwenye gari automatic

    leo kwakweli nimefurahi sana kukuta topic kama hii, maana jamvi hili limetawaliwa na habari nyingi za siasa tu!!. Jamani kwa wote wenye ujuzi zaidi endeleni kuelimisha. Special thanks kwenu.
  5. N

    Niko njia panda, nisaidieni

    huyo siyo mtu mzuri rafiki! Pls be caerful.
  6. N

    Utoaji wa leseni mpya umegeuzwa mradi kwa polisi na tra

    jamani tuna kazi kwelikweli! Kwanza kama huna cheti cha NIT sahau kuhusu class c. Hivi vile vyuo binafsi vina maana gani kuwepo wakati mtu unasoma pale na kupata cheti, lakini bado ukiwapelekea wanakwambia kasome nit?
  7. N

    Usilazimishe penzi hata kama umependa

    imenigusa, hakika ukipenda usipopendwa, loh! Kaka nimekupata!!
  8. N

    Wachumba wasiolingana kielimu

    mi nachukua point ya wanandoa kuelewana, pia kumuweka mungu mbele. Ndugu yangu, cha muhimu, phd na swala la ndo ni tofauti, haijalishi hajasoma kabisa, ila awe na upendo wa kweli, heshima, busara, na mwenye kuthamini utu!
  9. N

    Kifo cha DC Mkoani Mwanza

    nipo mwanza, sjapata taarifa kama hizo, nikinasa ntakujuza
  10. N

    When one tells you,he didn't love you...uwiiiiiiiiiii

    oooh! Sweetdada! Pole! Hatuji kilichotokea upande wa pili, lakini kiukweli hali kama hiyo inaumiza sana, na unaweza kuhisi kama huna thamani yoyo hapa duniani, napenda kukuhakikishia kua, una bahati, na bahati yako iko njiani inakuja! Kuna watu hawajui thamani ya penzi, wala usisumbuke nao...
  11. N

    The Bottom line ya sanaa ya kutongoza

    miss judy, uko sawa!
  12. N

    Mambo ya kwa Babu LOLIONDO

    jamani tusubiri walioenda
  13. N

    More than serious nahitaji mume wandugu

    jamani nashauri itaakuwa vema kama mtu ataweka picha yake hapa. Dada nakutia moyo utafanikisha kama kweli una nia asante!
  14. N

    Fire Extinguisher ama Sticker ya fire!

    hata huku Mwanza kautaratibu ni hako wa kuu! Hata kama unao huo mtungi, basi kama huna sticker trafic akikushika unalipishwa faini ya elfu 20, 000 . Jamani tutapona kweli? Mbona hawa jamaa hawana mtu?
Back
Top Bottom