Mamushka
JF-Expert Member
- Feb 17, 2010
- 1,595
- 100
Jamaa au wewe mwenyewe?
Ha haaa umeshtukia eeh, hata mi nadhani yeye mwenyewe.
Jamaa au wewe mwenyewe?
WEWE CPU UTAKUA NA VAIRASI mm EXTERNAL HARD DISK NIPO LIZZY NJOO KWANGU HAHAHAHAHAUporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply
Wana JF, mimi ni mwanadada na leo nimeona nijitoe muhanga kabisa maana ninahitaji mume/mchumba. Niko tayari kupokea kukosolewa ila kwa yule aliyeko kwenye shinda kama yangu tafadhali ni PM.
Mimi ni Mkristo ninayempenda Mungu na ninahofu ya Mungu ndani yangu, tayari niko kwenye umri wa kati ya 30-33 na ninahitaji mume wa kati ya 33 na kuendelea. Awe na elimu ya kujitosheleza, mfanyakazi au aliyejiajiri. Kabila lolote Tanzania na pia awe Mkristo. Hili swala naomba tu mchukulie kwangu ni kitu halisi hapa sina utani na wala siko kwa ajili ya kumpotezea mtu muda. Na katika hili pia namshikirisha Mungu nikiamini mume/mke mwema anatoka kwa Bwana. Na pia kwa wale watakao nishauri na kunitia moyo kwenye hili nawashukuru. Kaka zangu popote pale ulipo na unajiona kweli unahitaji mke naomba uni PM lakini kama ni swala la mzaha au kujaribisha naomba usipoteze muda.
Utaniweza?WEWE CPU UTAKUA NA VAIRASI mm EXTERNAL HARD DISK NIPO LIZZY NJOO KWANGU HAHAHAHAHA
Nakutakia kila la heri katika kufanikisha lengo lako la kumpata mwenzio.
Usihof lizzy mm springi ya mjeruman wala usiwe na hofu cpnd hata kwa kutuUtaniweza?
Usihof lizzy mm springi ya mjeruman wala usiwe na hofu cpnd hata kwa kutu
co bahat mbaya ni nzr.ingekua mbaya ucngesema unae.Bahati mbaya kwako nimeshapata!
Nimesewa bahati mbaya kwako sio kwangu!Mi nimebahatika tayari!co bahat mbaya ni nzr.ingekua mbaya ucngesema unae.
Mkuu si useme tu kama ni wewe mwenyewe? :A S-coffee:
Uporoto1
Yule binti tatizo inaonyesha wazi hajaridhika na CPU coz ikitokea mtu anaomba uchumba au mke basi anakuwa wa kwanza ku-apply
Hata mimi niliwahi kuja na ombi hapa la kutafuta mke...... sikufich dada yangu nilipata..... na tayari tumemeshajitia pingu za maisha na Mtoto wa kwanza wa kike (Blanca) tumepata.....na sasa tuko wote huku, mimi nabeba mabox na yeye anamalizia chuo...
so usikate tamaa dada yangu