Niko njia panda, nisaidieni

Asanteni sana wakuu kwa msaada wenu, for sure i feel new, JF is the best family ever
 
anajijua hali yake anataaihamishie na kwako akili kukichwa.
watoto wa leo wanasema chapa lapa
 
Kuwa makini dada na watu wasiotaka kupima. kuna dada (family friend) alikuwa na boyfriend akiwa o'level. Mdada hakufanikiwa kuendelea akapata kazi ya ualimu (primary) lakini alikuwa mzuri sana. Kijana kaendelea mpaka chuo kikuu ila urafiki wao ukaisha kiaina bila ugomvi. Baada ya miaka kadhaa wakakutana wakaanza upya uhusiano wao na ndani ya muda mfupi wakafunga ndoa. Kumbe kaka ni HIV positive and many people knew he was positive ila mdada hana hili wala lile kisa wanajuana toka zamani. Wamekaa kwenye ndoa miezi sita tu mume kaanza kuugua. Kafa wakati wife ana mimba ya miezi nane. Na ninavyoandika wife pia kesha fariki.

Lesson: Hata kama mtu ulimjua toka zamani haina maana kuwa ni mzima. Hataki kupima aanze mbele. Kuna watu wanaoa ili wapate wa kuwavisha nepi watakapo anza kuhara.
 
Huna haja ya kuumiza kichwa, yaani kusoma ushindwe hata kuangalia picha? Mpotezee haraka sana.
 
Kuwa makini dada na watu wasiotaka kupima. kuna dada (family friend) alikuwa na boyfriend akiwa o'level. Mdada hakufanikiwa kuendelea akapata kazi ya ualimu (primary) lakini alikuwa mzuri sana. Kijana kaendelea mpaka chuo kikuu ila urafiki wao ukaisha kiaina bila ugomvi. Baada ya miaka kadhaa wakakutana wakaanza upya uhusiano wao na ndani ya muda mfupi wakafunga ndoa. Kumbe kaka ni HIV positive and many people knew he was positive ila mdada hana hili wala lile kisa wanajuana toka zamani. Wamekaa kwenye ndoa miezi sita tu mume kaanza kuugua. Kafa wakati wife ana mimba ya miezi nane. Na ninavyoandika wife pia kesha fariki.

Lesson: Hata kama mtu ulimjua toka zamani haina maana kuwa ni mzima. Hataki kupima aanze mbele. Kuna watu wanaoa ili wapate wa kuwavisha nepi watakapo anza kuhara.

This was shocking lakini ni fundisho zuri sana kwa wengi wetu kujifunza, thanks
 
Achana nae hakupendi anakutamani make angekuwa anakupenda angekubali mpime kwanza
"wengine si wanaume, magumegume"
 
Back
Top Bottom