Recent content by NileSat

  1. NileSat

    JamiiForums Tanzania Members wenye majina mabaya JF taja unaowafahamu

    Naatombe
  2. NileSat

    JamiiForums Tanzania Tetesi: Wikileaks: CIA imeibiwa Mbinu za kudukua mitandao (Cyber weapons)

    Raisi wa Marekani Hutumia simu ambayo haiko connected na Internet, Yani haiwezi peruzi Mtandaoni, Kiuhalisia electronics Device almost nyingi sio safe Usa hupandikiza Chip humu wakati wa manufacturer Kwa kuangalia tu kifaa hiki kitatumiwa na nani na tunapaswa kujua anafanya na Kuishi vipi...
  3. NileSat

    JamiiForums Tanzania Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

    Inategemea unataka Camera ya aina gani indoor au Outdoor, Hio NVR unataka ya channel ngapi? Camera unataka PTZ yani kuzoom na kurotate Pixel ngapi N.k
  4. NileSat

    JamiiForums Tanzania TOP 20 ya Ikulu zinazotumia magari ya kifahari duniani, Afrika zipo nchi 2 tu, Kenya ikiwemo

    Land cruiser sio salama kwa raisi
  5. NileSat

    JamiiForums Tanzania Uunganiahaji Wa CCTV CAMERA kwenye simu za android au laptop kwa wireless.

    Mkuu its possible ni kitu simple sana kwanza lazima uwe na Camera aina ya IP Hio iko built-in in na Transimitter pili uwe na NVR Network Video Record tatu ni Router japo sio muhimu ivo baada ya hapo tafuta Universal Setup au Setup specific ya hio camera na ifanyie configuration ukimaliza...
  6. NileSat

    JamiiForums Tanzania Msaada Tutani wakuu

    Sina mkuu
  7. NileSat

    JamiiForums Tanzania Msaada Tutani wakuu

    Wakuu
  8. NileSat

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

    Sasa akili ya J ulimwengu umeipimaje asee? Unaweza kutuambia Intelligence Quetient ni ngapi? Hvi watu wanaweza kukuvua uraia from no where tu mbona upinzani hawavuliwa? Kama umzawa huna haja ya kujieleza Sana Eti kuonesha uzawa wa eneo fulani, Ulimwengu sio mtanzania hutaki andamana
  9. NileSat

    JamiiForums Tanzania Msaada Tutani wakuu

    Wakuu nilikuwa na Reset Pc yangu ina wondow 10 sasa nilikuwa na Reset yani ifute data zote ianze upya process imeenda fresh mpaka ikajaa asilimia 100 ikaanza kuinstal window sasa hapo Sikujua kama Charge inakaribia kuishi unfortunately chaji ikakata na process ika stop nika Plug Kwenye power...
  10. NileSat

    JamiiForums Tanzania Wanasiasa wote wa Kiume Wake zao wangekuwa wazuri kama wa Lema ingependeza sana

    Wewe bna ivi unamjua Nyalandu? Unajua kitu anayo tafuna? Unamfahamu Aliekuwa mbuge wa njombe Marehemu Philip njombe, Mtafute uyo bibie alie achwa mjane ndo utajua hapo kwa Lema ni kawaida sana
  11. NileSat

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

    Wasi wasi ni Akili Boss, Harafu haya mambo ya kusema katuzidi Elimu wewe una uhakika gani nayo Au unatakwimu za Member wote humu juu ya Level yao ya Elimu? Huyo jamaa ni Tsu lazima tuwe care nae tu mana tabia zao tunazijua Visasi visivyo na Ukomo, Hatumbagui ila hatuwezi kusema Tumpe Uhuru Full no
  12. NileSat

    JamiiForums Tanzania Mtaje Mwalimu aliyekusaidia na Hutomsahau

    Madam Anna , Tanga school apo popote ulipo nakukumbuka Sana Madam Wangu
  13. NileSat

    JamiiForums Tanzania Wasifu(CV) ya Jenerali Ulimwengu

    Mkuu wewe mbona unaleta porojo tu, Usicheze kabisa na Usalama Kuna watu wanaitwa striper Agents ni Hatari sana kwa Long term security hawa utakaa nae utaishi nae na ata behave Full kama mko wote kumbe anatafuta njia ya kupenya tu ikulu, Jiulize huyo jamaa alifikaje Ikulu mana amewah fanya kazi apo.
  14. NileSat

    JamiiForums Tanzania Kwanini Fastjet wanazuia usifunge madirisha

    D.B ktk ubora wako
  15. NileSat

    JamiiForums Tanzania Final Year Engineering Projects [Special Thread]

    Wakuu mbona sipati LDR na PIR sensor kwenye Multism
Back
Top Bottom