Recent content by Niconqx

  1. Niconqx

    JamiiForums Tanzania I am looking for potential buyer of quartz minerals

    Check with me 0692491839
  2. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Nakshi nyumba yako na Tanga stone

    Najipanga kukuona ndg
  3. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Wapi fundi wa turbo anapatikana?

    Tony turbo 0715473482, tabata dampo
  4. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Wapi fundi wa turbo anapatikana?

    Ulizia tony turbo,tabata dampo atakusaidia
  5. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Fresh fish (sato) available from fish pond for whole sale trade

    naomba kujuwa 1. being kwa kg 2.Samaki mmoja ana size gani 3.wanapatikana wapi 4.una kiasi gani kwa ujumla 5.fresh kutoka bwawani au unaweza kuhifathi kwenye barafu.
  6. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuvaa mawigi

    Kabla ya chanuo nywele zetu waafrica zilikuwa kwenye uasili wa rasta,sina maana ya rasta hizi za maplastick mnazo sukia kwenye nywele asili.
  7. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Wanawake acheni kuvaa mawigi

    Napenda mwanamke akisuka rasta kuliko manywele artificial,kweli yanakata mizuka sana.Nadhani wanawake wa kiafrica wengi hawajajua jinsi gani wazungu wanapenda nywele za kwetu,mkiwa na nywele asilia zinawaongezea uzuri zaidi ya ma plastics.
  8. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Sex huweza kutumika kama njia kufikia roho yako (sex is a gate way to your soul)

    this is so special,thx n god bless u
  9. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Matokeo ya Jimbo la Bumbuli yana Utata

    aibu kubwa kwa CCM,watachelewesha demokrasia kwa muda mrefu sana
  10. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Anahisi nishawahi kutembea na mke wake

    hakunaga mazoea ya ukaribu kati ya mwanamke na mwanaume kama siyo ndugu ipo siku mtatongozana tu na hilo ndiyo mazoea ambayo jamaa hayataki.jaribu kuwa mbali na mke wa mtu maana ni sumu ipo siku jamaa atakubadilikia ujute kujuwana na mkewe.
  11. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Hongera Iddi Ligongo na Mary Mgawe

    hongera zao
  12. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Kigogo Polisi akumbwa na tuhuma nzito

    Maelezo yanaonyesha mhalifu jinsi gani anajificha kwenye mwamvuli wa mwandishi,ajitokeze amalizane na dola na awachane na chuki binafsi.mwandishi ajifunze kuandika vizuri investigation report.
  13. Niconqx

    JamiiForums Tanzania Pombe ilitaka kuniharibia mahusiano yangu, sasa nimeamua kuacha

    Safi, nina imani kama una hofu ya mungu Kila jambo lina mpango wa mungu.Kila mtu anakimbiza matukio ili historia ikamilike sasa unajuwa nje ndani Kuhusu pombe.God bless you.
Back
Top Bottom