Hongera Iddi Ligongo na Mary Mgawe

Hongera Iddi Ligongo na Mary Mgawe

Iddi Ligongo si ndio alitaka kujiua kisa penzi la Nora (kwenye maisha halisia)
Hivi Nora mwenyewe sasa hivi yuko wapi? Maana aliwahi kuolewa na mganga wa kienyeji nakumbuka wakaenda kuishi Botswana halafu wakamwagana akarudi hapa amechoka kabisa. Sipati picha sijui sasa hivi atakuwa anaonekanje?! Maana enzi zake naye alikuwa anavuta kama Lulu wa enzi za uhai wa Kanumba(Sio Lulu wa sasa mana naye kaanza kubomoka)
 
Mbona wana muda wanasikikIa huko VOA bomouwa wewe sio msikilizaji wa redio labda
 
Last edited by a moderator:
Hivi Nora mwenyewe sasa hivi yuko wapi? Maana aliwahi kuolewa na mganga wa kienyeji nakumbuka wakaenda kuishi Botswana halafu wakamwagana akarudi hapa amechoka kabisa. Sipati picha sijui sasa hivi atakuwa anaonekanje?! Maana enzi zake naye alikuwa anavuta kama Lulu wa enzi za uhai wa Kanumba(Sio Lulu wa sasa mana naye kaanza kubomoka)

sijui atakuwa amepotelea wapi,ila kipindi chake alikuwa wamo,mi nilikuwa napenda tu anavyobembeleza kwa mahaba na sauti yake km ana mafua
 
Kweli ujana maji ya moto. Na wanawake pamoja na mikwara yote hawachelewi kuchakaa. Kuna huyu mwingine tena anaitwa Ubaya Sepeku pamoja na nyodo nyingi lakini kwishilia mbali!
 
kila mtu ana kipindi chake, nyota ikin'gaa inabid uitumie ipasavyo ili ikishafifia we unakuwa unakula pension tu,ila wasanii wetu wanajisahau,wanadhani watan'gaa milele ....
 
Kweli ujana maji ya moto. Na wanawake pamoja na mikwara yote hawachelewi kuchakaa. Kuna huyu mwingine tena anaitwa Ubaya Sepeku pamoja na nyodo nyingi lakini kwishilia mbali!
18 -28-32 ndio muda wa wanawake kujidai baada ya hapo hukaa bench.
 
Kweli ujana maji ya moto. Na wanawake pamoja na mikwara yote hawachelewi kuchakaa. Kuna huyu mwingine tena anaitwa Ubaya Sepeku pamoja na nyodo nyingi lakini kwishilia mbali!
Nora yupo wapi?
 
Back
Top Bottom