Invisible tusaidie kisemwacho kwenye huu kama ni cha kweli ili nijue hatua za kuchukua
Maana siwezi kukaa foleni ya bvr siku tatu alafu watu wanapika matokeo!!!!!!
Wapiga kura urais 44,011 ubunge 20,522 tofauti 23,489 .Hawa watu zaidi 23,489 waliompigia magufuli wametoka wapi?
Hadi hapo sie tunawaamini tume!!!!!! ndio tuliowapa dhamana.......huna ushaidi mzushi tu wewe
Hamna ukweli wowote hapo--- ni matokeo ya uchaguzi wa kura za maoni CCM! Angalia hiyo karatasi kwa juu kuna email ya CCM Wilaya jamaa amesahau ku-edit: The BossKama hizo ndio Fact na ushahidi tulionao nazo kuhusu uchakachuaji basi tuandike tumeumia.
Ulichopost ni nonsense, kwa sababu hapo haioneshi hizo za ubunge ni kura za maoni au ni kura za mwaka gani, hakuna detail yoyote, kama umekosa sahihi na mhuri, basi angalau usingesahau kuweka tarehe na vyama vya hao wagombea
We poyoyo acha ujinga, haiwezekani watu 24,000 wakampigie kura rais halafu wasipige kura za ubunge, hapo kuna uchakachuaji wa dhahiri..! Legeza ubongo japo kidogo. Ukitaka ushahidi zaidi ya hayo matokeo aliyo yapost jaribu kutafuta matokeo ya ubunge.
Jisikie aibu kuleta uongo kwenye jamvi na kuambatanisha na document feki! Usivyo makini ukasahau hata kuweka japo saini za uongo! Tangu lini fomu ya matokeo ikakosa sahihi?!Wapiga kura urais 44,011 ubunge 20,522 tofauti 23,489 .Hawa watu zaidi 23,489 waliompigia magufuli wametoka wapi?
RAIS JPM....tukulete limao?
Naona hata kiwango chako cha elimu ni duni!
Hizo kura za kiboya za maoni zinahusika vipi na wizi Wa kura takriban 24,000?Mleta thread, hebu angalia kwenye hii link halafu ulinganishe na ulichokisema MICHUZI BLOG: January Makaba ashinda kura za maoni CCM, Bumbuli