Recent content by Nicodemas Tambo Mwikozi

  1. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Unakijua kisa cha Mapenzi Bikra? Leyla na Majnun

    Nimejifunza mapenzi hayana ubingwa
  2. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania GE2020 Tumuenzi Mwalimu Nyerere kwa kumpa kura John Pombe Magufuli

    Mwaka 2014 nikiwa katibu wa Umoja wa vijana Chama Chama Cha Mapindizi UVCCM-Mkoa wa Morogoro Tulipokea Wageni Vijana kutoka Africa Kusini. Lengo la Vijana hao ilikua ni kutembelea Eneo la Mazimbu ambalo wapigania Uhuru wa Taifa hilo lililopo kusini mwa Africa waliweka kambi na kuchukua mafunzo...
  3. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Salamu zangu kutoka bara kwa Wanzanzibari..

    Mchana kigogo ni mzandiki
  4. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Salamu zangu kutoka bara kwa Wanzanzibari..

    Upo wapi Ndugu Yangu ? Nipo morena hotel kaka Ok ningoje hapo nakupitia twende sehemu .. Yalikua Mazungumzo yangu kwa njia ya simu kati yangu na kaka yangu,Kiongozi wangu, na Rafiki yangu Mheshimiwa Antony Mtaka Mkuu wa Mkoa wa Simiyu. Baada ya dakika chache alifika hotelini kisha...
  5. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania I Need Privacy with u.

    Ni wakati ambao Alarm iliotumika kuniamsha ilikua jogoo linapowika, saa yangu ya mkononi ilikua kivuli changu, kadri kinavyokua kirefu au kifupi na kuhama upande niliweza kubaini sasa ni saa ngapi Jua lilipozama liliashiria ukomo wa siku na kwa mjibu wa sheria za nyumbani nililazimika muda huo...
  6. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Jasusi wa Kisovieti ndani ya Israel na Mwili ndani ya Bahari

    Nasoma huku nacheka
  7. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Jasusi wa Kisovieti ndani ya Israel na Mwili ndani ya Bahari

    Unaaandika kimbeya mbeya saaana
  8. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Tunawashukuru nyote kwa mnavyoisaidia China kupambana na changamoto hii ya Corona Virus

    Bakari umefafanua mambo vizuri nataka kuoa China nipe mwongozo Sent using Jamii Forums mobile app
  9. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Robert Sobukwe, PAC na Ubaguzi wa Rangi Afrika ya Kusini

    Baro baro salama unanitesa niinibox na true id Sent using Jamii Forums mobile app
  10. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Robert Sobukwe, PAC na Ubaguzi wa Rangi Afrika ya Kusini

    Maana ake Sent using Jamii Forums mobile app
  11. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Robert Sobukwe, PAC na Ubaguzi wa Rangi Afrika ya Kusini

    Mwaka 1952 Bunge dhalimu na la kibaguzi lililokua chini ya Makaburu Afrika kusini lilipitisha sheria ya kibaguzi, sheria hiyo iliyomtaka kila mtu Mweusi kuwa na kitambulisho kilichopewa jina la DOMPAS ID, kitambulisho hicho kilifanana na Hati ya kusafiria (passport) Kitambulisho hicho (Dompas...
  12. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Siyabonga - Robert Mangaliso Sobukwe: Simulizi iliyonitoa machozi

    Mwaka 1952 Bunge dhalimu na la kibaguzi lililokua chini ya Makaburu Afrika kusini lilipitisha sheria ya kibaguzi, sheria hiyo iliyomtaka kila mtu Mweusi kuwa na kitambulisho kilichopewa jina la DOMPAS ID, kitambulisho hicho kilifanana na Hati ya kusafiria (passport) Kitambulisho hicho (Dompas...
  13. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Kuanguka kwa Liverpool kutaanzia boxing day

    Haaaaahaaa Sent using Jamii Forums mobile app
  14. Nicodemas Tambo Mwikozi

    JamiiForums Tanzania Mwanao (Soma muhimu)

    Why sir
Back
Top Bottom