Recent content by nicholaus omollo

  1. N

    JamiiForums Tanzania Msaada wa kisheria kuhusu mkopo

    Jamani ndugu zangu wataalamu wa sheria kuna mtu nilimkopesha milioni moja na tukaandikiana kuwa baada ya miezi 2 atatudisha milioni moja na laki tatu saivi ni miez minne mnisaidie nifanyeje kisheria ili nipate ata iyo milion moja yangu aksanteni
  2. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

    Nani anajua elimu ya Nape na matokeo yake
  3. N

    JamiiForums Tanzania Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

    Kwani elimu ya mbowe ndo jibu la swali???? Watu wengine bwana dahhh
  4. N

    JamiiForums Tanzania Mwalimu akiagiza gari atapunguziwa kodi?

    Exemption ni kwa waalimu na daktari tu uyo naona hajui eti wafanyakazi wote wa serikali
  5. N

    JamiiForums Tanzania Majina gani unique au ya ajabu JF

    Prf Mthombeni wa Pretoria University
  6. N

    JamiiForums Tanzania Mwigulu Nchemba, shujaa wangu

    Ningekua na mamlaka ningetoa order wakunyonga au wakupeleke mirembe
  7. N

    JamiiForums Tanzania Shule ya Nganza Girls ya jijini Mwanza katika kashfa nzito.

    We acha swaga bwana unachafua jina la shule bwana na waalimu wenzetu lete mambo ya ukweli apa JF la sivyo umesoma nganza miaka ya nyuma na ulipata 0
  8. N

    JamiiForums Tanzania hebu cheki hii fon buk

    Natamami kuona ya vijana wa rorya a.k.a jaluo
  9. N

    JamiiForums Tanzania Basi la Kampuni ya Princess Muro lapata ajali Morogoro!

    Poleni sana eeee mungu wazuie simba wasifike eneo ilo itakuwa hatar
  10. N

    JamiiForums Tanzania Nina miaka 36, niko ndani ya ndoa mwaka wa 9, nina watoto 2- sijatahiliwa.

    Unafikiri wake zetu watu wa mara hawatuachi kwann ata kama tunawadunda ngumi....kitu safi iliyokatwa chini mti tena asbuiiiii mbele ya watu.... wewe mrisya katoe ganda husiwe wa kumenya ndizi kila saaaaa
  11. N

    JamiiForums Tanzania Polisi kanda maalum ya TARIME-RORYA sasa yaamua kukabiliana na wezi.

    Kwani wameiba sehemu gani mkuu
  12. N

    JamiiForums Tanzania Yuko wapi EDWARD OYOMBE AYILA?

    Oyombe hakuwa na shule na wala siyo siyo mfanyabihashara kama wenzake utamsikia wap kama siyo kulima afu ubunge alipata kwa bahat bahat tu na alifanya 0 rorya akaua na kiwanda cha Utegi .....aishie mbali uyo
  13. N

    JamiiForums Tanzania Msaada kwa anayemjua vizuri Shetani

    Juzi bungeni watoto wa shetani walitajwa pale bungeni ebu fuatilia vzr kwa hawa watoto utapata kujua alipo baba lao!
  14. N

    JamiiForums Tanzania Mtoto HAWA MOHAMMED wa Kenya ameokotwa

    Vp nikupe namba mh. Kenyatta au fuata taratibu balozi wa kenya nchini tz kwani swala ilo ni la kimataifa au mh Six S
Back
Top Bottom