Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

Kumbe hiki cheo amekifanyia kazi?

Nakumbuka alipokosa ubunge akaamuru kampuni y tanzanite one kufkuza wote aliowaingiza pale karib watu 300 maana hawakumpa ht kura 1 watu hawana fadhila kbs
duh...!!
 
Kwani huyu dindili_mizega ndio nani? Maana ndiye aliyepost hayo maneno. Aliye elewa anisaidie
 
Kitendo cha CCM kuwajaza ujinga watanzania kwamba siasa ni Blah blah ndiyo matokeo yake tunayoyaona kwenye kujenga hoja humu JF. Hongera Ole Sendeka kujikomba kwako kumelipa!!
 
hivi wanaccm wakishaingia kwenye siasa huwa hawawezi kufanya kitu kingine cha kuwasaidia kujikimu ? huyu ni mmasai wa ajabu sana ! hata ng'ombe hana !
 
Hawa wanajuana kwa zile issue za Tanzanite one.... Nchi hiiiii!!! Ngoja tunyamaze.
 
hivi wanaccm wakishaingia kwenye siasa huwa hawawezi kufanya kitu kingine cha kuwasaidia kujikimu ? huyu ni mmasai wa ajabu sana ! hata ng'ombe hana !
ng'ombe, yaani Ingishuu hana?! Metiii tukuluu! Olaahlaalah
 
Pengine wewe ndie Mtoto! Kabla ya Nape aliepewa kazi hiyo kwa lengo la kuzuia Makubaliano haramu ya" Boys II Men" ya kurithishana madaraka na akafanikiwa cheo hicho kimekuwa kikishikiliwa na Mzee John Chiligati, Kapten George Mkuchika na Hayati Ukiwaona Ramadhani Mwinshehe Ditopile Mzuzuri!
Mkuchika na Ditopile hawajawahi kukamata cheo hicho bali waliwahi kuwa naibu katibu mkuu bara kwa nyakati tofauti
 
Back
Top Bottom