Recent content by NI MTAZAMO TU

  1. NI MTAZAMO TU

    Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Ndio mawazo yangu kwa kweli,ilitakiwa aitushe kikao cha dharula cha balaza la mawaziri,pamoja na Spika ili wasutane,wachambane mpka hamu yao iishe kisha ,warudi kuwaachia TRA kuja kuwaelimisha wananchi juu ya mikopo yenye riba na isiyo na riba na nini manufaa ya hiyo mikopo, kuliko kila mmoja...
  2. NI MTAZAMO TU

    Rais Samia amvaa Ndugai. Asema, "Huwezi kuamini mtu mzima ana-argue tozo na mkopo wa Trilioni 1.3"

    Kosa anaenda kulifanya Mama ni kufanya mabadiko na kuwaweka kando anao dai wana stress ya 2025..hili kundi linaenda kukua sana linaenda kupambana kiukweli kuliko hata walivyo kuwa ndani ya serkali.. Mama angawaacha na kuwaita kwa pamoja kuonya bila wananchi kujua..
  3. NI MTAZAMO TU

    Ushauri kwa Waziri wa Maji; Mgao wa maji uwe wa haki na usawa

    NDUGU Waziri wa Maji, tunajua kazi yako ilivyo tukuka sana tangia Baba Magu hata Mama Samia,na sisi wote ni Mashahidi.na nichelee kusema unajenga heshima kubwa sana kwa mama SAMIA kwa kazi yako nzuri. Ndio tunajua hali sio nzuri sana MAJI KWA KIPINDI HIKI, haswa Ruvu chini kutokana na chanzo...
  4. NI MTAZAMO TU

    Uchaguzi 2020 Wanachama wa CHADEMA zaidi ya 350 wanashikiliwa Magerezani na kwenye vituo vya Polisi nchini Tanzania kwa sababu za Uchaguzi wa 2020

    Mbona kina Mboye, Mnyika na Lissu yanaendelea kula BATA kitaa.au ndio walishakiza mbwa wao wakawahi kwenye TV kuangalia matukio tu.
  5. NI MTAZAMO TU

    Donald Trump ajitangaza mshindi kabla ya matokeo ya mwisho

    Mgombea Urais wa Marekani Donald Trump amesema amenusa viashiria vya mchezo mchafu (udanganyifu) kwenye matokeo ya uchaguzi yanayoendelea kutangazwa na kusema licha ya kwamba matokeo ya mwisho ya jumla hayajatoka yeye tayari ni Mshindi. "Kuna udanganyifu, hii ni aibu kwa Marekani, naenda...
  6. NI MTAZAMO TU

    Uchaguzi 2020 CHADEMA na ACT-Wazalendo Wapinga Matokeo, Wataka Uchaguzi Urudiwe, pia NEC na ZEC zivunjwe

    Nimekuwa nikijiuliza hapa hivi nikiandamana ni kwaajili ya Mbowe na Genge lake wapate Mihela na mikuku, mm nafaidikaje hapo baada maadamano? Sasa mara pa mguu wangu au mkono he watakuja Mwimbili maana ugomvi na vyombo vya Dolla sio wa mchezo.
  7. NI MTAZAMO TU

    Uchaguzi 2020 Tamko la Ubalozi wa Marekani kuhusu uchaguzi Mkuu Tanzania 2020

     Mtazamo wa msomaji   China yataka uchaguzi wa Tanzania kutoingiliwa habarileo.co.tz10/22/2020  SERIKALI ya China imesisitiza msimamo wa nchi hiyo na kuyataka mataifa mengine kutoingilia masuala ya ndani ya nchi mbalimbali duniani, ikisema Tanzania ina uwezo mkubwa wa kusimamia...
  8. NI MTAZAMO TU

    Toa mchungaji ingiza Askofu

    Wananchi wameamua pakubwa sana ,wakaona wafanye juu chini waongeze nguvu ya maombi na upako mjengoni maana kusutana na vijembe viitawala sana Bunge lilopita. Watanzania walimtegemea na Mch Msigwa naye akawa bize kujenga chama akasahau kiliombea Mbunge, wananchi wakaona walifanya makosa makubwa...
  9. NI MTAZAMO TU

    Uchaguzi 2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

    Nyie Espora nyie msitufanyie hivyo wezenu bhna ,Bongo pazuri acheni kutugonganisha.
  10. NI MTAZAMO TU

    Halmashauri iliyotoa lessen kwa Wakala wa Cement Ubungo

    Tumewasoma ngoja tufanyie kazi ila hata jana na leo nimeambiwa ile issue ya unyanyasaji inaendelea lakini mbona vyombo husika haviendi fanyia kazi malalamiko ya wananchi au mpka mtu atolewe koo jaman ,wafike pale kama wateja wajiandae.
  11. NI MTAZAMO TU

    Halmashauri iliyotoa lessen kwa Wakala wa Cement Ubungo

    Kilichowakuta wafanya biashara na wachuuzi wa CEMENT pale DEPOT ya Ubungo, kimenikumbusha enzi za UKOLONI kabisa. Kisa chenyewe kiko hivi: Wajasili ya mali ,wachuuzi na wasakatonge kwa njia ya Uuzaji wa cement wamefika pale DEPOT kuanzia saa 9 alfajiri wakiwa na lengo la kuwahi namba ili wapate...
  12. NI MTAZAMO TU

    Uchaguzi 2020 Baada ya kufuatilia kwa muda huu mfupi, jamaa wamekuja na hizi

    Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:- 1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli. 2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR 3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji 4. Kuruhusu Uvuvi haramu. 5. Kuruhusu Uchungaji wa Mifugo kwenye hifadhi. 6...
  13. NI MTAZAMO TU

    Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

    Kwani haujasoma mihimili ya serikali Sky? Kila mhimili upo huru kabisa.hiyo ya kusema ilikuwa mikononi mwa Gaddafi ni maneno ya kitaa tu.
  14. NI MTAZAMO TU

    Mambo 17 yaliyosababisha kuuawa kwa Muammar Gaddafi

    Kama walikuwa na ushahidi kuwa serikali ndio ilikuwa ikifanya hayo mbona hawakwenda kwenye mhimili mwingine ambao ni mahakama kushtaki
Back
Top Bottom