Uchaguzi 2020 Baada ya kufuatilia kwa muda huu mfupi, jamaa wamekuja na hizi

NI MTAZAMO TU

JF-Expert Member
Feb 20, 2014
1,208
2,000
Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:-

1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli.

2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR

3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji

4. Kuruhusu Uvuvi haramu.

5. Kuruhusu Uchungaji wa Mifugo kwenye hifadhi.

6. Kusitisha Ujenzi wa Madaraja, meli na Vivuko

7. Kusitisha Ujenzi wa Hospital, Zahanati, Shule nk

8. Kutaifisha Mali za CCM Kama Majengo, viwanja na mashamba

9. Kuacha kukusanya kodi.

10. Kuwatoa magerezani Wahalifu wote wa makosa mbalimbali.

11. Kujifunza Kingereza
 
Tigershark

JF-Expert Member
Oct 9, 2018
7,096
2,000
Mataga mmeishiwa kabisa propaganda? Hili jukwaa lina watu timamu,haiwasaidii chochote kuandika mipasho humu jukwaani!

Hivi Bashiru aliposema mjibu hoja,ndio mnampa mrejesho namna hii?

Mmmmh, labda ni ndoto na huu sio uzi wa GT! Wacha nilale!
 
Kaitwike Kulupango

JF-Expert Member
Mar 19, 2020
210
500
Uliyo yaorodhesha ungeyetolea ufafanuzi ingelikuwa vizuri zaidi. Hapo ni kama umetumia jazba, mihemko na hamaki, ni kana kwamba umeiweka akili pembeni na kujitoa ufahamu.
 
REJESHO HURU

JF-Expert Member
Mar 6, 2014
3,026
2,000
Sawa tu mbona meko yeye kaingia kasitisha mambo mengi tu
1. Kasitisha nyongeza ya mishahara kwa watumishi wa umma
2.kasitisha ajira za mwalimu kila mwaka
3. Kasitisha ajira za JKT kila mwaka
4. Kasitisha utawala bora unaofuata sheria
 
Lihakanga

JF-Expert Member
Dec 17, 2016
2,221
2,000
NI MTAZAMO TU,

Haikusaidii maana watu wameshajitambua, Lisu kawapa knowledge how to decipher the knowledge code around them! Kama ndivyo Bashiru anategemea kujibu hoja kwa uharo huu, haya, basi mmekwisha!
Kauli za ''kiutu uzima'' ni kama ''hatuna pesa za kampeni'', ''mguu wangu haukunjuki'' ''habaru zangu hazirushwi'',''mshindani wangu anahela sana''.
 
M-mbabe

JF-Expert Member
Oct 29, 2009
12,381
2,000
Hii ndo tafsiri ya CHADEMA kuwekeza katika maendeleo ya watu na sio Vitu:-

1. Kuuza ndege zote zilizonunuliwa na Magufuli.

2. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa SGR

3. Kusitisha Ujenzi wa Mradi wa Umeme wa Rufiji

4. Kuruhusu Uvuvi haramu.

5. Kuruhusu Uchungaji wa Mifugo kwenye hifadhi.

6. Kusitisha Ujenzi wa Madaraja, meli na Vivuko

7. Kusitisha Ujenzi wa Hospital, Zahanati, Shule nk

8. Kutaifisha Mali za CCM Kama Majengo, viwanja na mashamba

9. Kuacha kukusanya kodi.

10. Kuwatoa magerezani Wahalifu wote wa makosa mbalimbali.

11. Kujifunza Kingereza
Tundu Lissu kawashika MATAGA kunako shubamit!
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom