Uchaguzi 2020 Mbeya na Kilimanjaro ni ngome za upinzani. Kwanini Magufuli alipiga magoti kuomba kura Mbeya, lakini hakufanya hivyo Kilimanjaro?

YEHODAYA

JF-Expert Member
Aug 9, 2015
26,787
2,000
Chadema mtajuta kusimamisha msaliti wa Nchi Lissu apeperushe bendera ya Chadema Akiwaletea Chadema hata wabunge wawili mkatambike
Mleta mada naye atakuwa kaja na Kisu toka ubelgiji hajui chochote kuhusu mila za kiafrika anachojua ni kula chakula kwa kijiko na umma tu na kuongea kingereza

Hajui mila za kila mahali

Mfano wachaga wako Tanzania nzima mbona hajauliza kwa nini wachaga watumie majani ya masare kuomba msamaha Kilimanjaro tu kwa nini Mbeya hawakuyatumia wakati kuna wachaga pia

Majani ya masare yanafahamika na kueleweka vizuri uchagani tu na mila za mtu kupiga magoti kuna makabila ni sehemu ya Lazima ya mila zao kwenye jambo kubwa .Mleta mada anataka kulifanya liwe national issue mbona LA majani ya masare haongelei?

Anyway ukiangalia hata ilani ya Chadema haihaandikwa na watanzania imeandikwa na wazungu ndio wakamleta ubelgiji Kisu aje kuinadi akiwa na hawa vibaraka wenzie huyu mleta mada.Lakini watabzania tukaiponda hiyo ilani Barbara .Lisu akaacha kuinadi kabaki anaongea porojo tu kaitoroka .Kashtuka yuko jukwaaani kunadi kitu ambacho watanzania wala hawataki sijui kuweka madini rehani,sijui majimbo sijui serikali isifanye biashara waachiwe Richmond na IPTL nk

Sasa hivi Lisu kawagwaya watanzania alikuwa hawajui vizuri sababu yeye kutwa hata alipokuwa Tanzania kazi yake ilikuwa kuongea kingereza na wazungu na kuongea kingereza mahakamani

Sasa kaja majukwaani kakutana nao live
Tarehe 28 October ndio atawajua vizuri zaidi sasa hivi anawasikia tu Aljazeera na BBC anakopenda kusikiliza kuliko channel za ndani za TBC,Azam,Channel 10 nk
 

Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom