Kitu ambacho kila mara najifunza hapa ni uelewa mdogo wa kufikiria tu. Kisa kafanya mr almasi ni wangapi wameowa na kuolewa nje ya nchi hii na pengine nje ya bara hili? Kingine kwa swala la makombo hata yeye anakula hayo na si yeye tu kila mtu kayapitia hayo.
Mm nashangaa sana kwani team ikichukuwa kombe la Tanzania bara na atakae chukuwa kombe la clabu bingwa bara Africa team ipi inaheshimika? Majibu mmnayo wenyewe.
Kijana unaonekana hauko nyuma sana kwa vitabu vya zamani. Mm nina hazina hiyo. Nina will gamba. Almasi mwadui, silaha zilizo potea, will gamba. Vingine ni allani quaterman mashimo ya Mfaume suleiman , kuindea inch isiyo julikana. Elf lela ulela na mikasa saba. Karibuni kwenye library yangu ya...
Wananunua kwa sheria za umoja wa kimataifa wauza siraha kote duniani hawana mipaka ya nani wanaamuuzi cha msingi kikundi chako au taasisi itambulike tu. Tena wanakuletea kwa ninavyo jua mm.
Sisi huwa hatuweki kumbukumbu na kutunza historia zetu. Kwa sisi tukifanya mambo hayo utaambiwa mchawi. Huyu jamaa moja anaeitwa dyainamo anaefanya hayo anatembea kwenye maji na kupaa kwa yeye ni sawa kisa mzungu. Akiwa mwafrica ni kosa.
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.