CCM vipi kila mtangaza nia ana sera yake?!

CCM vipi kila mtangaza nia ana sera yake?!

Ileje

JF-Expert Member
Joined
Dec 20, 2011
Posts
13,636
Reaction score
21,243
Nilitegemea kuwa kila mwenye nia ya kugombea urais toka CCM ataielezea sera ya chama chake kwa ufasaha! Lakini ajabu kila mwenye nia anakuja na sera yake! Mbona mnatuchanganya?

Kitu ambacho watia nia wangetofautiana ni mbinu (strategy) ya utekelezaji wa sera! CCM mna sera ngapi?

Kwa utaratibu huu kweli CCM mmechoka na ndiyo maana mmekosa DIRA!
 
Back
Top Bottom