ng`wana ong`wa kulwa
JF-Expert Member
- Mar 14, 2013
- 2,420
- 1,755
Maswala ya kitaalamu sana mwanangu.......kwa nini unauliza hivyi mwanangu?
Mkuu kayamgo, haya usemayo haya yote ni kweli, ni kweli Lowassa ni fisadi, ni tajiri anauchukia umasikini!, na pia ni kweli CCM sasa imehodhiwa na mafisadi hivyo ni chama cha kifisadi, na kupata uongozi ndani ya CCM sasa ni kupitia rushwa, na urais wa siku hizi ni kununua!. Tangu ile 2005 JK alikuwa ni masikini, lakini ni Lowassa ndiye aliyemsaidia kupata pesa za kuununua urais kupitia Kagoda hivyo JK pia aliununua urais, hivyo kama urais sasa ni bidhaa!, and it is for sale!, na wewe umeipenda bidhaa hiyo, na umeikuta iko dukani for sale, umeona bei yake na kama unazo hizo fedha, why not buy it?!.
Kwa vile JK ni masikini lakini alisaidiwa kuununua urais, Watanzania tumeendelea kuwa masikini as reflection ya kiongozi wetu mkuu!, JK ni masikini na hajawahi kuuchukia umasikini!, as a result Watanzania bado ni masikini!. Lowassa sio masiki ni tajiri, anapenda utajiri, anauchukia umasikini, akiingia madarakani atautokomeza umasikini na kila Mtanzania atakuwa tajiri!.
Niliwahi kusikiliza mahubiri fulani ya Mchungaji Getrude Rwakatare, alisema Umasikini ni laana!. Tanzania ni taifa lenye laana ya umasikini kutoka na kuchagua viongozi masikini!. 2015 tusichague tena kiongozi masikini ili tuondokana na hii laana ya umasikini!.
Say Yes to Lowassa, say Kwaheri umasikini!.
Pasco
Haya maswali ndio yalipaswa kuulizwa na waandishi wa habari.chaa ajabu sijuwi ndio nani yule wa clouds tv anamuuliza kwanini unaitwa edward.
Jk kununuliwa urais labda huko kwenye vikao ili Jina lake lipitishwe lkn kwa wananchi jk alikua anakubalika sana ,mfano ni mimi na wewe may be,sikushawishiwa wa kupewa pesa na lowassa ili nimpigie kura jk,na watz wengi kwa maana ya wapiga kura hawakuhongwa na lowassa but as I said labda unamaanisha lowassa alitumia utajiri wake kuwahonga wajumbe wa vikao vya maamuzi ila walipitishe Jina la jk lije kwetu wapiga kura.
Nilitaka kuweka sawa hapo tu.Endeleeni na kampeni zenu
Mkuu kayamgo, haya usemayo haya yote ni kweli, ni kweli Lowassa ni fisadi, ni tajiri anauchukia umasikini!, na pia ni kweli CCM sasa imehodhiwa na mafisadi hivyo ni chama cha kifisadi, na kupata uongozi ndani ya CCM sasa ni kupitia rushwa, na urais wa siku hizi ni kununua!. Tangu ile 2005 JK alikuwa ni masikini, lakini ni Lowassa ndiye aliyemsaidia kupata pesa za kuununua urais kupitia Kagoda hivyo JK pia aliununua urais, hivyo kama urais sasa ni bidhaa!, and it is for sale!, na wewe umeipenda bidhaa hiyo, na umeikuta iko dukani for sale, umeona bei yake na kama unazo hizo fedha, why not buy it?!.
Kwa vile JK ni masikini lakini alisaidiwa kuununua urais, Watanzania tumeendelea kuwa masikini as reflection ya kiongozi wetu mkuu!, JK ni masikini na hajawahi kuuchukia umasikini!, as a result Watanzania bado ni masikini!. Lowassa sio masiki ni tajiri, anapenda utajiri, anauchukia umasikini, akiingia madarakani atautokomeza umasikini na kila Mtanzania atakuwa tajiri!.
Niliwahi kusikiliza mahubiri fulani ya Mchungaji Getrude Rwakatare, alisema Umasikini ni laana!. Tanzania ni taifa lenye laana ya umasikini kutoka na kuchagua viongozi masikini!. 2015 tusichague tena kiongozi masikini ili tuondokana na hii laana ya umasikini!.
Say Yes to Lowassa, say Kwaheri umasikini!.
Pasco
Hilo swali la utajiri alishalijibu baada ya kuulizwa na nyerere hayo mengine yatajibiwa may 30 kwa sasa tupo busy na maandalizi ya rais wa mioyo ya watanzania
Lowasa anahasira sana, akiulizwa maswali asiyokuwa na majibu nayo anasonya na ku crush hilo swali. Anajazba. Juzi waati anaulizwa maswali magumu kidogo anawahi kusema nitayajibu arusha, ile hali akijua arusha ataleta blabla zake na hakuta kuwa na maswali tena. Hopeless politician
kasenge mbona unalialia kama umekalia DUDE! ... Lowassa hapambani ni Rushwa kwa maneno matupu! Yeye ni mtu wa vitendo na leo ameweka bayana... tafuta hotuba yake uelimike Zaidi ...
Hataweza kupambana na Rostamu, Karamagi,Chenge, wote ni wamoja.Unafikiri ni kwa nini Lowasa hakupenda kuongelea jinsi atakavyopambana na ufisadi pamoja na wala rushwa wakubwa kama njia mojawapo ya kulinda rasilimali za umma?
Alitaka kama sifa za Rais na serikali yake atakayoiunda "kupambana na rushwa". Hata hivyo alipotamka alitabasamu kuonyesha amaanishi akisemacho.Unafikiri ni kwa nini Lowasa hakupenda kuongelea jinsi atakavyopambana na ufisadi pamoja na wala rushwa wakubwa kama njia mojawapo ya kulinda rasilimali za umma?
Naendelea na My Tribute to this fallen hero, Mwamba wa Kaskazini, kwa kujikumbusha baadhi ya mabandiko yangu kumhusu shujaa huyu mpaka siku atakapo pumzishwa kwenye makao yake ya milele, let's celebrate the life and the times of Edward Lowassa.
Mkuu 072, afisa uhusiano na msemaji wa Lowassa sio ndugu Pasco, bali ni Aboubakar Liongo!.
Pasco wa jf, japo ni mwanachama, wa chama cha siasa, lakini sio mshabiki, mfuasi na sio mpambe wa mwanasiasa yoyote!, ila Pasco wa jf ni mzalendo na mtu mkweli daima anayesema ukweli wa kupindukia!, huwa anausema ukweli halisi jinsi ile ile ulivyo bila kumungunya maneno na bila kujali ukweli huo, utamfurahisha nani au utamuudhi nani!.
Sasa miongoni mwa ukweli mchungu kumeza kuihusu nchi yetu ni kuwa 2015 CCM ndio itachukua tena nchi!. Ukweli mchungu kumhusu Lowassa, he is the one and only best option that CCM has!, and he can make the best president this country has ever had apart from Mwalimu Nyerere!, sababu ni moja tuu "He has the powers to make things happen!".
Ukweli una tabia moja tuu!, husimama mpaka mwisho!.
Pasco