Recent content by Ng'watya

  1. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania WALIMU: Kwa wale wanaotaka kubadilishana vituo vya kazi

    Niko mkoa wa simiyu wilaya ya maswa yeyote aliyeko Tabora wilaya ya Igunga anicheki tubadilishane
  2. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Je, ukiacha kazi serikalini huajiriwi tena serikali?

    kwa mfano EVANCE HENRY. mtu aliacha kazi na vyeti alivyokuwa akitumia vina majina mawili. eg MTU MUNENE baadae akaamua aombe kazi tena kutokana na maombi ya sasa majina lazima yawe matatu na kama hayako matatu kwenye cheti means uende mahakamani ukaidhinishe. mtu huyu kaamua kuidhinisha na...
  3. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Kwa wanaohitaji msaada kuhusu Mara Sekondari

    hahahaaaa eti kucheki pilau. hivi kigera bado ipo au imehamishwa?. mlebi,nyangahondi wapo?
  4. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Victor Byemerwa: Rais aliyepinduliwa Humanities UDOM kwa kushindwa kuwatumikia wanafunzi

    NIMEICOPY KAMA ILIVYO HUYU NDIYE JOSIAS CHARLES KIGEUGEU NA MWANZILISHI WA MGOGORO HUMANITY Soma kwa makini utajua ukweli. Kuna usemi unasema "mwenye busara akinyamaza anaupa nafasi upumbavu" sio nia yangu kutukana bali ni mapenzi ya dhati kueleza ukweli ninaoujua kwa kuweka unafiki pembeni...
  5. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Idris Sultan athibitisha kuwa Wema Sepetu ana mimba yake

    Hongera sana idriss walioshindwa umewaonyesha .........:D:D:D:D:D:D:D
  6. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Nimeamini Lowassa ndiye rais ajaye

    Mm ni cdm toka moyoni ila kwa ndoto yako naipa % zaid ya 100 na iwe hivyo
  7. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Watanzania waliosoma Havard

    Mwingine ni mpugwa josephat alafu na fredrick sumaye niliwahi sikia kasoma pale
  8. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Je, Unafaa kuwa Mume? Ingia Hapa Kisha Jipimie

    Mm ni mmoja ya waliokupm.y no rply?.narudia tena usiwe mwembamba coz huwa hawanipi raha.madame b nafas hii usiichezee.ila mziki uwe unauweza mm ni msukuma na niko giant balaa.
  9. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

    Manc 3 man u o
  10. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

    Dk ya 46 Man c 2 man u 0
  11. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

    Dk ya 39 manu choka
  12. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Live Updates: Man City Vs Man Utd, live from the Ettihad

    Man city 1 man u 0
  13. Ng'watya

    JamiiForums Tanzania Matokeo kidato cha sita inakuwaje?.

    kwa tetesi za haraka ila msininukuu kutoka mamlaka husika nayo pia yachakachuliwa tena kuongeza haja za wanasiasa kama kinachotokea kidato cha nne sasa.mwenye fununu hembu funguka
Back
Top Bottom