Kama umeangalia vizuri,
toka dk ya kwanza mpaka Man City wanafunga goal, mpira ulikua kwenye
half yenu tu
Mourinho vipi milan vs Napoli?sioni uzi tuchangie changie baadae
sawa kma ulikuwa makini kuhesabu hzo pasi, nategmea man utd wanifariji leo, siku ishaharibika hii.
Huu mpira wa leo haujatulia.hakuna free flow,ni makwanja,distractions na kuvutana jezi!waingereza mmeanza kuiga mpira wa serie a,mtauweza?!
Kun kawaingizia ukuni mashetani wekundu
Hahahahahahahaaa, naamini General Gang Chomba atauanzisha huo uzi, akizingua tutalianzisha Mkuu
poa.Chomba bado anaponda maisha Las Vegas na mpira kausahau kabisa ha ha haa,chezea America wewe..Touree
Man City 2-0 Man Utd
Yaya Toure
Haya hayaaa, kumekuchaaa!
Sikutegemea Man Utd kufungwa kirahisi kwenye set pieces,
halahaulaaah!