Sijui kapata m-Porto Rico huko?
Puerto Rico mkuu
Sijui kapata m-Porto Rico huko?
Man Utd bila RVP hakuna kitu...
Puerto Rico mkuu
Puerto Rico mkuu
Ahsante
Sijui kapata m-Porto Rico huko?
Pole sana, hata mie hapa nyumbani hali si shwari
Niko pub hapa napo hali ni shwari kabisa uzingatia 99% ya walevi ni man utd supporters.
Man six inanukia
ni watoto wazuri sana hao..