Elizabeth Dominic
Platinum Member
- Dec 7, 2007
- 4,555
- 3,659
Nanusa maumivu kotekote
Man U kazi ipo
Hawawezi hata kupiga pass
nne(4) bila kupoteza mpira, hata hizo statistics zina walakini, nadhani
ball possession ni Man City 90% - Man United 10%
hata kama huipend man utd lkn sio kihivyo!
Nanusa maumivu kotekote
Una uhakika gani me siipendi Man Utd? Naongea kile nachokiona uwanjani Mkuu
Eliza
Wapi tena kuna maumivu?
ndio hazifiki pasi 4? au wewe unatumia nn kuchek game?