Unajua ni madhara kias gan atakayopata mumeo baada ya kumuacha,na watoto...wewe ni zaid ya pepoooo...mzinifu mkubwa ,wewe hufai kuitwa mke..unafaa kuitwa malaya mtiifu....pumbavuuu...
Hii dini yetu hasa huko makanisan wameacha kutia mkazo kuhubiri injili badala yake wanasaka hela kwa michango ya kulazimishana.
Ni ukwel usiopingika wezetu Waluteri wamekuwa ni mfano mzuri wa kuigwa..mahubiri mazuri yenye kumjenga mtu kiuchumi ,kiroho, na kimwil na ndio maana wanatoa kwa moyo...
Nijambo la kushukuru Mungu, kwa tukio la kuhadhimisha skukuu ya Pasaka limemalizika salama !....Tuwaombee kwa wale waliopata matatizo ya hapa na pale bila kusahau wagonjwa wote...
Kuna mawazo mengine ni hatari zaidi ya sumu ya nuclear, nani aliekwambia kwenye swala la kuoa umri ni kigezo ambacho kitazuia maisha yasiendelee?Cha msingi tathmini mwanamke unaetaka kumuoa je? mwenendo na tabia zake, juhudi na maarifa, hofu ya Mungu na ana mapenzi ya kweli...ukijiridhisha oa...
Chuo hiki kimekuwa kikitumia hela za wanufaika wa mikopo kwa manufaa yao binafsi pale wanapoona inafaa ndipo huzitoa kwa wanafunzi husika.
Mfano taarifa kutoka bodi ya mikopo zinaonesha chuo kimeingiziwa hela toka tarehe 16/2/2017, cha ajabu wanafunzi wamesahinishwa tarehe 22-23/3/2017, na...
Nayaona mabadiliko makubwa bunge lijalo..Kama Nape ataamua kutumia ushawishi wake ndani ya chama chake kupitia wabunge wa ccm naona muungano mkubwa baina ya ccm na wapinzani kuwa na sauti moja yenye kusudi flani...Hapa ndipo mwazo wa mabadiliko makubwa yatakapotokea..Naamin historia mpya...
Mkuu unatumia kampuni gani kuagizia mzigo ,na emu tupe garama za kuagiza hadi unapokufikia ni bei gan...mfano nimeona saa ya mkononi inauzwa dola kumi, garama za shipping cost ni dola kumi na nane na nusu kwa kila saa moja kupitia DHL.Mfano ukiagiza saa kumi garama za shiping zinakuwa dola...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.