Ngurumo ya Upako
Member
- Dec 5, 2016
- 20
- 13
Nijambo la kushukuru Mungu, kwa tukio la kuhadhimisha skukuu ya Pasaka limemalizika salama !....Tuwaombee kwa wale waliopata matatizo ya hapa na pale bila kusahau wagonjwa wote...
Nijambo la kushukuru Mugu, kwa tukio la kuhadhimisha skukuu ya Pasaka limemalizika salama !....Tuwaombee kwa wale waliopata matatizo ya hapa na pale bila kusahau wagonjwa wote...
Duuu pole sana....Watu wanapenda vituko eee
Duh
Basi sawa
Umenifanya nisimeze hata fundo moja la tusker yangu nakimbilia huku nikijua Korea keshalianzisha
Kumbe porojo
Ina nini kwani mbona ipo poa tu.Mkuu troublemaker hiyo avatar yako mhh... hapana.