Karibu ujifunze ufugaji wa samaki

Karibu ujifunze ufugaji wa samaki

Joined
Sep 17, 2016
Posts
72
Reaction score
22
Usikubali kuachwa nyuma kuelekea uchumi wa kati wa viwanda, njoo upate ujuzi na maarifa.
 
Attachments

  • IMG-20171214-WA0003.jpg
    IMG-20171214-WA0003.jpg
    114.8 KB · Views: 114
Usikubali kuachwa nyuma kuelekea uchumi wa kati wa viwanda, njoo upate ujuzi na maarifa.
IMG-20171214-WA0004.jpg
 
Ingekuwa vyema ungeweka na ghalama za mafunzo kabla ya mtu kijiandikisha aweze kujua.
Gharama za mafunzo ni tsh 20000., ila kwa sasa ni kujiandikisha tu kupitia hiyo namba. Mafunzo yatafanyika kila mkoa kulingana na muitikio na yataanza January 2018, jambo la msingi ni kujiandikisha kwanza
 
mafunzo yanaishia nadharia au yanaenda hadi kwenye kumuelekeza namna ya kuanzisha bwawa boss?

Sipo nyumbani sasa hivi ila nina bwawa nyumbani nikirudi nitawatafuta nilifufue. Lina samaki aina ya perege sio la kisasa maana ya sasa hivi naona mengi yamesakafiwa.

Wakati enzi hizo tulishauriwa tutengeneze mabwawa bila kusakafiwa.
 
Samahani lakini kwa swali la mbele sana,hivi bwawa dogo sana linaweza kuchukua samaki kiasi gani n gharama za jumla zipoje
 
Samahani lakini kwa swali la mbele sana,hivi bwawa dogo sana linaweza kuchukua samaki kiasi gani n gharama za jumla zipoje
Vyote hivi utavifahamu ukisha anza mafunzo...idadi ya samaki na gharama huwa inategemea na aina ya ufugaji na bwawa.
 
Vyote hivi utavifahamu ukisha anza mafunzo...idadi ya samaki na gharama huwa inategemea na aina ya ufugaji na bwawa.
Ama kweli!!!! Mkuu unatakiwa ujibu kwa ufasaha hili swali ili watu wajenge imani na hilo darasa lako na sio mambo ya eti utajua hukohuko
 
Akijibu hapa watu hawataenda semina..
......atavujisha mambo
 
Akijibu hapa watu hawataenda semina..
......atavujisha mambo
 
Akijibu hapa watu hawataenda semina..
......atavujisha mambo
 
Back
Top Bottom