Mayai ya kienyeji yanapatikana

Mayai ya kienyeji yanapatikana

Colman19891

Member
Joined
Jul 9, 2017
Posts
29
Reaction score
8
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji.
Kwa wale wenye uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa ajili ya kutamilisha na matumizi mengine ya nyumbani yanapatikana kwa bei ya shilingi 15000 kwa trey.
Kutokana na sehemu ulipo kwa wale wanaohitaji wanaweza kuletewa hadi mahali husika.
Tunapatikana KIBAHA KWA MFIPA.
Mawasiliano 0716666954
Mbezi 0684180030
 
Attachments

  • trunggaac3.jpg
    trunggaac3.jpg
    17.8 KB · Views: 251
Bora yako yanauhalisia ata kwa rangi na size mwingine alituwekea tangazo hapa la mayai ya kienyeji lakini ukiyaangalia tu unajua kuwa sio ya kienyeji

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Habari zenu wana JF.
Mimi ni mfugaji wa kuku wa kienyeji.
Kwa wale wenye uhitaji wa mayai ya kienyeji kwa ajili ya kutamilisha na matumizi mengine ya nyumbani yanapatikana kwa bei ya shilingi 15000 kwa trey.
Kutokana na sehemu ulipo kwa wale wanaohitaji wanaweza kuletewa hadi mahali husika.
Tunapatikana KIBAHA KWA MFIPA.
Mawasiliano 0716666954
Mbezi 0684180030
Bei ya jumla,unaendaje kiingozi?.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom