Recent content by Nguna

  1. N

    JamiiForums Tanzania Michapio hatari

    Show itafanyika kwenye Ukumbi wa Dhando Hall
  2. N

    JamiiForums Tanzania Hivi ni kwanini tunapenda kuitana "Mkuu"?

    ni kweli Mkuu
  3. N

    JamiiForums Tanzania Huu unyanyasaji wa wafanyakazi hasa walimu utaisha lini?

    michango ya aina gani?
  4. N

    JamiiForums Tanzania Huu unyanyasaji wa wafanyakazi hasa walimu utaisha lini?

    Akiongea katika mkutano uliowakutanisha wakuu wa shule uliofanyika tarehe 10/07/2014 katika ofisi za halmashauri ya wilaya ya Iramba, Mkuu wa wilaya ya Iramba aliwaagiza wakuu wa shule waambie walimu kuwa wanatakiwa kulipia elfu kumi na tano (15,000) kuchangia ujenzi wa maabara katika shule za...
  5. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Kuoga pamoja mume na mke kwenye nyumba za kupanga ni ushamba uliopitiliza, jengeni zenu mjinafasi

    mimi naoga na wife hata kama iweje!
  6. N

    JamiiForums Tanzania Unafiki wa Wabunge Huu hapa

    uzi huu umefanana na maelezo ya jamaa mmoja aliyekuwa kwenye kipindi cha marumbano ya hoja itv wiki hii sijui ndio yeye!! Anyway unalolisema ni sawa kwani mtandao wa majangili ndio uliosababisha mawaziri wajiuzuru.
  7. N

    JamiiForums Kenya, JamiiForums Tanzania Mwamvita Makamba: Bora buzi kuliko sembe

    hapo sio umeteleza bali umeanguka!!
  8. N

    JamiiForums Tanzania Habari gani uliiona kubwa kwa mwaka 2013? (Kimataifa)

    Kifo cha aliyekuwa raisi wa kwanza mweusi Afrika kusini Nelson Mandela maarufu kama Madiba ndio habari kubwa iliyopata kutokea mwaka 2013 kuliko habari zote kwa maoni yangu. Zipo sababu kadhaa zinazonifanya niamini kwamba hii ndio habari kubwa kuliko zote. Kwanza karibu vituo vyote vya...
  9. N

    JamiiForums Tanzania Mhe. Sugu Kutunukiwa Phd Ya Heshima Tar. 28/12/2013

    hii hata mimi napinga
  10. N

    JamiiForums Tanzania Bunge laahirishwa, Kamati ya Maliasili yawaka moto!

    mbona kawaida sana, kwani ni zito peke yake aliyeomba mwongozo?
  11. N

    JamiiForums Tanzania ni sanaa tu

    Safi sana.
  12. N

    JamiiForums Tanzania Jinsi ya kufanikisha malengo yako

    safi sana.
  13. N

    JamiiForums Tanzania Aliyekuwa Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mwanza auwawa na wananchi wenye hasira kali kwa kupigwa mawe

    kwani yeye hajaua? Acha uccm. Vyombo vyenyewe havitendi haki.
  14. N

    JamiiForums Tanzania Hoja binafsi!

    umejuaje kama tumekuelewa
  15. N

    JamiiForums Tanzania Mnyiramba;iramba magharibu...

    kwani mbadala wa Nchemba ni Kitila peke yake? Mimi naona Iramba inawatu wengi sana wenye uwezo wa kuwasaidia wanaIramba kuliko hata Kitila.
Back
Top Bottom